CCM yakiri Jey Key amekwama. Hapo patamu

2euj5l4.jpg
 
acha wakabane koo wenyewe kwa wenyewe kwanza...lakini mi hizi kauli kwamba wapambe wa JK wanamshauri vibaya huwa inanikera sana!!! Kwanini wasimtaje mwenyewe kwamba JK ndio mzizi wa Tatizo???

Ni kawada ya viongozi walikosa muelekeo......waache waumane,ili wajifie wenyewe....wasije wakasingizia CDM....
 
:A S 13: Ni ujinga kama si upumbavu au nidhamu ya woga kuseme eti jey key ameshindwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwa anashauriwa vibaya, nani anawateua hao washauri,kwani kila anachoshauliwa lazima akikubali? kama vip wamshauri awe anaenda kuoga hapo beach nyuma ya ikulu kama atakubali? upuuzi mtupu,unafiki na uzandiki,ukweli ni kwamba Nchi imemshinda haiwezi lakini si kwamba ameshauriwa vibaya kama vipi awafukuze hao wanaomshauri vibaya maana karibu kila analolifanya wananchi wanambeza.

mmmmmmmmmhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kweli mkuu wa nyumba Nchi umemshinda nahisi anaona 2015 ni mbali.
 
Jina la huyu mh. linanitia mashaka juu ya uwezo wake ktk kufikiri, yaani linaanzia na G:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Amesalitiwa kwa kulipa fadhila, pole JK maisha yataendelea tuachie nchi Exit Saudia, mkuu wa Anga
 
Mimi nakiri 2005 nilimshabikia sana JK lakini sasa sina hamu nae maana ameshindwa kukabili changamoto za nchi badala yake kila wiki au wiki mbili anaenda nje hali nchi iko katika matatizo makubwa na yeye anashindwa kutoa maamuzi. Hivi amekuwaje jamani nisaidieni
 
LOL, viongozi wa Nchi wakisikiliza kwa makini Otuba, lol kunamaendeleo kweli apo inaonyesha usiku walikua wamekesha kwa kuchakachua
 
Mi watu wanaosema ukweli nawapenda saana haijalishi yupo chama gani, ila nakumbuka kumsifia january makamba halafu akasema tununue mitambo ya dowans haapo ndo nakuwa nawasiwasi na hawa watu!


Hana lolote huyu, naye ni mamluki wa mafisadi wa dowans, anawalaumu watu wanaomshauri rais vibaya wakati huo huo yeye anashauri rais awashe kibiriti kwenye petrol. Huyu haoni kuwa dowans ni petrol inayo subiri kulipuka?
 
Back
Top Bottom