CCM yakata tamaa ktk uchaguzi wa udiwani Arusha na kusema huyu Lema ni balaa amewapa nini hawa watu

Arusha wamefunguka, wamekomboka, wako huru kifikra na kiitikadi, mbali na kongwa la umasikini wa fikra na mawazo la nyinyiem.:llama::llama::llama::llama::llama:
 
Yah mmepata akili mpya but mlikoenda ndo mmepotea zaidi cdm. Mmetoka kwa afadhali mmekimbilia kwa potelea mbali.
 
Poyoyo nyiiingi, mwisho ni kama iramba tu

Mkuu, tukutane trh16, mimi itanibidi niende kilomita 12 ili kuwapa CDM kura yangu kule Kimandolu. Ingawa nilihamia kata nyingine miaka 7 iliyopita lkn daftari la Tume ya uchaguzi sija-update.
 
Arusha wamefunguka, wamekomboka, wako huru kifikra na kiitikadi, mbali na kongwa la umasikini wa fikra na mawazo la nyinyiem.:llama::llama::llama::llama::llama:

Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, Mtanzania anayejitambua hawezi kuichagua CCM, hata Wamakonde wameshaelevuka.
 
CCM bhana wanashindwa kusoma alama za nyakati, maeneo pekee watakayosilizwa ni yale yaliyobado gizani waliyofanikiwa kuwanyang'anya wananchi firsa yao ya elimu.
 
Chama cha mapinduzi CCM wamepoteza uelekeo na kubakia kumtafuta mchawi anayevujisha siri zao za ndani katika vikao vyao kila wanachozungumza wanakikuta mitandaoni, jana kwenye kikao chao wameonyesha kukata tamaa kabisa kutokana na vyanzo vyetu vya habari ndani ya CCM na kusema hii Arusha kuirudisha kata hata moja CCM ni ndoto kama tunafanya mikutano akuna mtu yoyote anayekuja kutusikiliza unategemea nini?

Mmoja wao hakioji na kusema mimi niliwaambia toka mwanzo tusifanye mikutano ya majukwaani kwasababu ni aibu amkutaka kunisikiliza sasa mmeona wenyewe jinsi tumeaibika pale Kaloleni na Elerai, sasa leo ndo mnasema tuachane na mikutano ni bora tuendelee kufanya mikutano na kuwaagiza mabalozi wetu katika kata zote wawalete watu hili angalau tuwe na watu kwasababu tukiacha kufanya mkutano yani ndo tutawapa hawa CHADEMA maneno yakuendelea kutuponda,tukomaeni kibingwa lkn ukweli ni kwamba hatuwezi kulamba kata hata moja,

chanzo cha habari intelejensia yetu ndani ya CCM
Poleni chama cha mapinduzi, tatizo mmesaliti 'jembe na nyundo'. wavuja jasho sasa ni mateka ya wanyonyaji. hakika inatia huruma kwa chama alichokiasisi mwalimu nyerere.
 
Hata nyerere angekua hai angeshavua gamba mana familia kubwa ya mwl. Iko cdm.
poleni chama cha
mapinduzi, tatizo mmesaliti 'jembe na nyundo'. Wavuja jasho sasa ni
mateka ya wanyonyaji. Hakika inatia huruma kwa chama alichokiasisi
mwalimu nyerere.
 
Back
Top Bottom