CCM yakaidi kupeperusha bendera nusu mlingoti

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
kwenye taarifa ya habari ya usiku ITV imeonyesha bendera ya CCM ikipeperushwa kinyume na tamko la maombolezo ya msiba wa Taifa
 
Wadau nilikuwa naangalia habari ITV saa mbili jioni, imeonyeshwa vyama vyote vya siasa vimeshusha bendera nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na bendera ya taifa,isipokuwa CCM. Je hii inakaaje? ina maana CCM wanamaanisha nini? Wakati watanzania tuna msiba mkubwa namna hii?
 
@Sidhani kama wameamua kudharau wito wa maombolezo, Nafikiri wahusika kwenye ofisi za CCM watakuwa wamejisahau tu, maana wengi wako busy sana na shughuli zao binafsi. @Lakini wapo wengine wanapeperusha bendera ya CCM kwenye mazingira yao kama utamaduni, au kuficha biashara haramu zinazofanywa kwenye mazingira yao, au kukwepa usumbufu wa polisi na maafisa wa kodi. Kwa ujumla wengi wao sio wanaCCM halisia hivyo hawana muda na mchango wowote kwa chama chao, kwa hivyo suala la kupeperusha bendera nusu mlingoti ni msamiati na zoezi gumu sana kwao.
 
That true men na hii inaonesha tofauti kubwa kwa hawa viongoz hewa wa tz.
Hawa jielewi kimsingi
 
Back
Top Bottom