Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
2020 hakuna uchaguzi. Wakurugenzi wamepangwa kimkakati. Ni wale walioshindwa kura za maoni huko kwenye chama kile. Ndio watakuwa wasimamizi wa uchaguzi.
Maagizo walionayo ni kuwatangaza washindi wagombea wa chama kile hata kama hawatashinda. 2019 hakuna uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji. MADAS ndio mamlaka za rufaa. Wote ni makada. Walishindwa kura za maoni kwenye chama chao.
Maelekezo ni kwamba wapinzani wakishinda rufaa zikatwe wao watafuta matokeo na kutangaza kurudia uchaguzi kisha kutoa ushindi kwa wagombea walee. Lengo ni kuuwa upinzani.
Msipofanya kitu jiandaeni kisaikolojia nyote mnaosema 2020 upinzani utashinda. No mabavu yatatumika kuudanganya ulimwengu. Haya ndio mafunzo ya Kagame na Mseveni.