Elections 2010 CCM Yajaribu Nguvu ya Mungu Kwa Mara Nyingine

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Nimesoma taarifa kuwa mmoja wa mafidadi na watu hatari sana katika muelekeo wa nchi hii, Andrea Chenge, amechukua fomu ya kuomba kugombena nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mtu mchafu kama Chenge, CCM walipaswa kuhakikisha mikono yake haigusi karatasi za fomu za kugombea nafasi hii nyeti katika taifa la Tanzania. CCM wameacha. Wamefunika kombe.

Hizi ni habari za kutisha.

Hili ni jaribu jingine kwa CCM. Na Mungu atawaonesha mlango wa kutokea (Chadema kitachukua utawala wa nchi soon).

No temptation has overtaken you that is not common to man. God is faithful, and he will not let you be tempted beyond your ability, but with the temptation he will also provide the way of escape, that you may be able to endure it.

1 Corinthians 10:13

that way of escape is Chadema. Believe it or not.


Mulijaribiwa kwenye kura za maoni, Mungu amewaonesha mlango wakutokea kwa kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani tofauti na mwaka 2005.

Na sasa munajaribiwa tena.....................

Kazi kwenu CCM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom