CCM yaipiga mweleka CHADEMA Uchaguzi mdogo Mbozi

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Katika uchaguzi wa vitongoji sita mbozi uliofanyika leo CCM imeshinda vitongojib 5 na CHADEMA imeshinda 1 ambacho tofauti ya kura ni 1 (70/69).
Vitongoji hivyo ni Nashami-Sakamwela(Ihanda),Hasanga-Mlangali(Mlangali),Iyenga-Shaji(Mlangali),Shitete-Nansama(Isansa),Majiwe-Iwalanje(Magamba) na Mwambani-MsambaI(Isandula).

Hayo ndiyo matokeo ya uchaguzi mdogo Mbozi.
 
Katika uchaguzi wa vitongoji sita mbozi uliofanyika leo CCM imeshinda vitongojib 5 na CHADEMA imeshinda 1 ambacho tofauti ya kura ni 1 (70/69).

Hayo ndiyo matokeo ya uchaguzi mdogo Mbozi.

Mleta mada Umetumwa?
 
Mleta mada Umetumwa?

Jamani nimeleta matokeo ya uchaguzi mdogo kwani hii siyo mada? sidhani kama uwanja huu nimekosea kuleta mada hii nilichokiwasilisha ni matokeo!! Mbona naziona humu ndani mada za namna hiyo
 
Jamani nimeleta matokeo ya uchaguzi mdogo kwani hii siyo mada? sidhani kama uwanja huu nimekosea kuleta mada hii nilichokiwasilisha ni matokeo!! Mbona naziona humu ndani mada za namna hiyo

ungeandika ccm yachechemea mboz uchaguz sm! Maana hata mwanzo ndio walikuwa wanashikilia vitongoj hivyo!
 
Tuache unafiki, CHADEMA katika matokeo ya serikali za mitaa ilionyesha kujikusanyia viti vingi, lakini kadiri wale waliochaguliwa kupitia tiketi hiyo katika utendaji wao wameshindwa kudeliver kilichotararajiwa, matokeo yake wananchi wamekumbuka blanketi lao la kale! Matokeo ya Mbozi ni somo linaloonyesha wananchi kuwa njia panda!
 
Back
Top Bottom