CCM yaibomoa CHADEMA jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Mimi sishangai kwa sababu siasa ziko barabarani sasa kama chama kimoja tu ndio kimeruhusiwa kufanya siasa na vingine vimekatazwa sasa ni kwann wasijiuzuru?
Tanzania mzima Sera zinazotangazwa ni za ccm tu lkn kwa wengine marufuku.
 
Kuna maeneo CCM waliweka watu wao waliovaa magwanda ya CHADEMA kumbe ndani ni CCM. So hii show ilipangwa kama zile show za mastar wa music wa ulaya huwa zinapangwa 4yrs before. Hata hii ni show tu hao madiwani walishawekwa wanacheza cinema tu . Atoke diwani hata atoke mbunge wapenzi wa CHADEMA tutafia CHADEMA

Wameweka hii ionekane wamerudi kumbe hawakuwahi kutoka kwenye selo ya LUMUMBA ni watu wao hao wamekaa kinafiki nafiki sana hao punguwani
 
Tuwe wapole na tusubiri......

=======
Pole pole akiwa Mkoani Kilimanjaro anasema yafuatayo.

Kuna viongozi kadhaa kutoka Upinzani wameikubali kazi na kasi ya Rais Magufuli. Lazima tuwapokee kwa heshima kubwa.

Watu hawa wametumia Uhuru na haki yao ya Kidemokrasia na kuamua kuondoka katika vyama vyao na kujiunga na CCM. Ni watu wazito.

Wafuatao ni Madiwani wamejiondoa CHADEMA na kumuunga mkono Rais Magufuli(Wamehamia CCM).

1- Diwani wa Kata ya Machame Magharibi.
Ndugu, Goodluck Kimaro ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Wilaya ya Hai(CHADEMA). Hivyo nimeamua kumuunga mkono Rais Magufuli.

2- Diwani wa Kata ya Weruweru,

3- Diwani wa Kata ya Mnadani Wilaya ya Hai, Ndugu Everist Peter Kimati amesema kuwa japokuwa walipata ushindi mkubwa 2015 lakini ndani ya chama kulitokea mpasuko uliosababishwa na uhujuma ndani ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Katibu wa Itikadi na Uendezi wa CCM, Ndugu Humphrey Polepole amesisitiza kuwa kuna lundo la viongozi wa Uponzani wanaotaka kujiunga na CCM.
Hii imefanyika kwenye mkutano wa ndani? Si walisema mikutano ya kisiasa imezuiliwa hadi 2020?
 
Biashara ya kununua watu ni moja ya matendo ya kikatili na yanafanywa na makteta na maharamia
 
Hii nayo ipo kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm 2015?

hata bibi alikuwa binti.
 
Huelewek, u cerebrit ktk siasa unaingiaje, mbona Kingwendu na u cerebrit wake aliangukia pua ubunge. Siasa ni sayans km sayans nyingine, hao wa leo ni macerebrity ktk ulimwengu wa siasa.

sweeper
Kama mnajua siasa ni sayansi, kwanini mnatumia mtutu wa bunduki kufanya siasa. Yaani wengine muwazuie kufanya siasa huku mkitumia mtutu wa bunduki kuwakamata, halafu mnakuja hapa kuandika upuuzi kuwa siasa ni sayansi? Hata aibu hamna.....
 
Lisu na Mbowe wanatamka waziwazi kuwa CCM ni adui yao.

CCM ni adui ya watanzania wote kwa ujumla wetu pamoja na wewe.Miaka 55 Tanzania ni masikini ya kutupwa,raslimali zote zimepewa wageni wachache wakijilimbikizia mali huku wakilindwa kwa mgongo wa waastaafu.

Kama kweli JPM ni Mzalendo aanze kurejesha kile alichokwapua na pili aondoe kinga kwa waliotuibia au kusababisha kuliingiza Taifa letu kwenye umasikini wa ajabu huku wakifanya biashara wakiwa IKULU
 
Back
Top Bottom