Nyumba yako au ya jiraniyako ikiungua unategemea kuona watu wa faya wakija kukusaidia au polisi kwa ajili ya kuchunguza tukio la moto
kujua kama umeunguliwa kwa bahati mbaya au umefanyiwa hujuma au hata wewe mwenyewe umetengeneza hujuma kwa sababu zako
binafsi lakini wiki hii huko Igunga tumejionea maajabu nyumba inaungua makada wa CCM na magwanda yao ya kijani ndio wa kwanza kuonekana alfajili na mapema kabla ya polisi kufika wala majirani na wanafika eneo la tukio bila hata kuwapa muda polisi wafanye uchunguzi kujua nini kilitokea MAKADA WA CCM WANAANZA KUGAWA MAPESA KWA MWENYE NYUMBA. may be ndio wanampa malipo yake ya banda lake la kuku hata mimi nachoma banda langu la kuku kwa malaki ya bure. sijaona viongozi waungwana na wanaowajali watu kuliko hata fire bridgade au polisi kama CCM. CCM sasa mnajidharirisha jamani.