CCM yafuta kitengo cha Propaganda, Tambwe Hizza kwaheri

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Leo na jana magazeti ya tz na blogs mbalimbali zimeripoti kuwa Nape Nauye ametanagza rasmi kuwa kitengo cha Proganda cha CCM kimefutwa na kuanzisha kitengo chas Mawasiliano kwa Umma na kuwa kitafanyiwa marakebisho makubwa.

Hivyo yule CCM propaganda man Tambwe Izza amekula ya chuya !

Labda atafute kazi redio uhuru na nyinginezo.

Habari ndiyo hiyo
 
Kama ni kweli tambwe atakuwa kapata ujira wake,na bado akauze duka lake la hapo ilala dunia itamwinamia kwa yale aliyoyasema akichumia tumbo ccm.Ilikuwa suala la muda tu ikumbukwe kuwa aliyemleta hapo ni makamba na makamba ndiye aliyemfagia nape utegemee nini kama makamba hayupo ni dhahiri muda wake ulihesabika.
 
Sasa jamini Tambwe atalilea vipi lile tumbo? amezoea kumwaga pumba ilia apate msosi sasa mnataka asilee tumbo lake?
 
ni jina tu hakuna issue huyo mpiga yowe bado hatakuwepo Nape hana ubavu wa kuongeza maadui kwa
sasa alionao wanamtoa jasho
ccm sasa hivi ina kamba mmoja ya kambi ni wale wasio na kazi chamani .
walio na kazi kwenye chama ndio wanajifanya kuwavua magamba wenzao kwa kutumia jk strategic fitina
 
Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma akimnyamazisha Asha Likalangala alipoangua kilio baada ya kuingiwa na maneno ya Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara Kilwa Masoko.

Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo Kilwa Mohamed Likalangala katika mkutano wa hadhara Kilwa Kivinje.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishauriana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma kwenye mkutano Kilwa Kivinje mkoani Lindi.

Nape akishauriana jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano uliofanyika Kilwa Masoko, mkoani humo.

Nape akisakata muziki na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano wa Kilwa Masoko.

Nape akisakata muziki na vijana wasanii wa Kilwa Masoko.

Nape na Asha Abdallah Juma wakisindikizwa na umati wa wakazi wa Kilwa Kivinje baada ya mkutano wa hadhara.

Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati akiondoka mara baada ya kumalizika mkutano wa hadhara.(Picha na Bashiri Nkoromo).
 
Picha hizi zingalitokea Chadema basi maneno mengi lakini hapa watu tunajadili Taifa letu na si vyama . Huko kusini wako nyuma kwa kila kitu kimaendeleo lakini wao ndiyo wameishika CCM akili za watu wa huko sijui zikoje .
 
huko inaoneka CUF wamewakalia vibaya hata idadi ya watu sio nzuri.

harafu huyo mama analia watu wa pembeni hake hawashituki ni huyo katibu tu
 
Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma akimnyamazisha Asha Likalangala alipoangua kilio baada ya kuingiwa na maneno ya Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara Kilwa Masoko.

Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo Kilwa Mohamed Likalangala katika mkutano wa hadhara Kilwa Kivinje.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishauriana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma kwenye mkutano Kilwa Kivinje mkoani Lindi.

Nape akishauriana jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano uliofanyika Kilwa Masoko, mkoani humo.

Nape akisakata muziki na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano wa Kilwa Masoko.

Nape akisakata muziki na vijana wasanii wa Kilwa Masoko.

Nape na Asha Abdallah Juma wakisindikizwa na umati wa wakazi wa Kilwa Kivinje baada ya mkutano wa hadhara.

Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati akiondoka mara baada ya kumalizika mkutano wa hadhara.(Picha na Bashiri Nkoromo).

Kweli Nape n i" POPO KAGANDA" si mnyama si ndege.
 
Mtaji wa ccm ni ujinga, ufukara na Ujuha.
Popote ambapo ccm inapendwa sana , tazama kiwango cha umaskini, ukarunguyeye na ujinga.
Huwezi kuipenda ccm ukiwa timamu!
 
Mtaji wa ccm ni ujinga, ufukara na Ujuha.
Popote ambapo ccm inapendwa sana , tazama kiwango cha umaskini, ukarunguyeye na ujinga.
Huwezi kuipenda ccm ukiwa timamu!

Mkuu watu wa kusini nao ni binadamu hivyo wanastahili heshima kama binadamu.
 
Mtaji wa ccm ni ujinga, ufukara na Ujuha.Popote ambapo ccm inapendwa sana , tazama kiwango cha umaskini, ukarunguyeye na ujinga. Huwezi kuipenda ccm ukiwa timamu!
Yaani Nape anafanya sanaa wakati nchi inachechemea...hapa tunapata uthibitisho kwamba wajinga ndio waliwao...hivi hawa wanaomsindikiza si ajabu bado wako kwenye Giza na hata mgao unaoendelea hawaujui. Nchi hii kazi ni pevu nasikitika sioni Mtu alieianza...tunacheza segele kwanza.
 
Nadhani Tambwe (rafiki yangu wa ukweli) ataelekea alikotokea (cuf) maana wamefunga ndoa na ccm kwisha kazi yake, tulimwambia hakutuelewa
 
Tabwe tambo akili kamasi, umeyaona. Tafuta kaz kwingine ila chadema nsikuone. Hata hivyo nna huzun sana, jamaa katuletea wanachama wengi sana kwa sabab ya pumba zake. To hell you devil
 
Mtaji wa ccm ni ujinga, ufukara na Ujuha.
Popote ambapo ccm inapendwa sana , tazama kiwango cha umaskini, ukarunguyeye na ujinga.
Huwezi kuipenda ccm ukiwa timamu!

Umasikini una tafsiri pana sana! Labda ufafanue zaidi!
 
Tambwe kwisha habari hawezi kupata kazi radio Uhuru maana hakusoma huyu jamaa .Lakinij humo humo anaweza kupewa hicho kitengo cha mahusiano ambayo watakuwa wana husiana wenyewe
 
Tambwe Hiza pamoja na laana zake , Lakini ccm imepata Tambwe Hiza Jr, ambae ni Kilaza kuliko Tambwe Mwenyewe. Nape ni mtoa Pumba kuliko wale wanapropaganda wao.

Siwezi kupoteza muda kumwongelea kijana Nape, mtu ambaye alishindwa kufaulu hata ule mtihani wa kidato cha nne ili aende kidato cha tano. Akaamua kutafuta private teacher kwaajili ya masomo ya kidato cha tano na sita, akafanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate, akaishia kupata division 0. Kutoka hapo sijui alipitapita vipi, nasikia kuwa ana shahada!!!
 
Back
Top Bottom