CCM yafunga kampeni za uchaguzi jimbo la Kalenga kwa kishindo

MwanaDiwani,maliza kwanza fungate.Acha siasa kwa muda na umhudumie mkeo hata kidogo. Kalenga aisiharibu ndoa yako changa Mwenezi.Nawe kwani ulikuwepo Iringa?
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika vizuri lakini hata huyu inadaiwa amekamatwa na polisi akigawa rushwa.
IMG_9865.jpg

we don't know what really happened since the incident involves green guard, anybody is innocent till proven guilty
 
wamesomba wengne mby il waonekane wengi hakuna lolote
Hii ndoto yako siyo ya kwanza naya mwisho.

Hata kwenye chaguzi za madiwani zilizofanyika tarehe 09/02/2014 kuna baadhi ya watu walikuwa wanaota ndoto kama hii na walipozinduka, CCM ilikuwa imeishachukua kata 23.

Nina uhakika utakapozinduka kesho utapata ukweli halisia.

Goodluck in your daytime dream.
 
...

....Ndani ya mioyo yao kuna siri kubwa na kesho wataisema kwa vitendo....ukitazama kwa makini picha hata unyooshaji wa mikono unaonyesha !!!

Chadema ni Mpango wa Mungu wengine kwa Shetani tu...
CHADEMA walianza kwa ulaghai na wanamalizwa na ulaghai.
 
2.+Mashabiki+wakimbeba+Mgimwa.jpg

Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi, leo
3.+Kinana%252C+Mgombea+na+Mwigulu+wakisalimia+wananchi+Kijiji+cha+Kidamali.jpg

4.+Kinana%252C+Mgimwa+na+Mwigulu+wakisalimia+wananchi.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba na Mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa wakisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano huo.
6.+Kinana+akimnadi+Mgimwa.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimnadi Mgimwa kwenye mkutano huo wa kufunga kampeni
5.+Mwigulu+akihutubia.jpg

Naibu Katibu Mkuu(Bara), Mwigulu Nchemba akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni
8.+Mgimwa+akihutubia+maelfu+ya+watu+2.jpg

Mgimwa akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo wa kufunga kampeni
10.+Mgimwa+akionyesha+mkewe.jpg

Mgimwa akiionyesha hadhara mkewe Robi, kwenye mkutano huo wa kufunga kampeni za CCM.
7.+umati+wa+watu+ukinyoosha+mikono+kuafiki+kumchagua+Mgimwa.jpg

Umati wa wananchi wakinyoosha mikono kuafiki kumchagua mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa kesho.

Ni karibu na hifadhi ya wanyama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom