Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
CCM yafanya kufuru Muheza Send to a friend Monday, 01 November 2010 11:20 0diggsdigg
Steven William, Muheza
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu.
Matokeo hayo yametangazwa jana na Katibu wa CCM wilayani Muheza, Josephini Mbezi wakati akizungumza na Mwandishi wetu ofisini kwake.
Katibu huyo alisema kuwa CCM, imeshinda viti vya udiwani katika kata zote 33 zilizopo katika jimbo la Muheza huku wapinzania wakiambulia patupu.
Alisema kuwa CCM katika jimbo la Muheza imepata ushindi wa kishindo katika upande wa madiwani na kusema kuwa viongozi wa chama hicho wamefanya juhudi kumbwa kuhamasisha wananchi kuipigia kura CCM.