Elections 2010 CCM yafanya kufuru Muheza

lembeni

Member
Sep 8, 2010
31
1
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu.

Matokeo hayo yametangazwa jana na Katibu wa CCM wilayani Muheza, Josephini Mbezi wakati akizungumza na Mwandishi wetu ofisini kwake.

Katibu huyo alisema kuwa CCM, imeshinda viti vya udiwani katika kata zote 33 zilizopo katika jimbo la Muheza huku wapinzania wakiambulia patupu.

Alisema kuwa CCM katika jimbo la Muheza imepata ushindi wa kishindo katika upande wa madiwani na kusema kuwa viongozi wa chama hicho wamefanya juhudi kumbwa kuhamasisha wananchi kuipigia kura CCM
 
ushindi wa kishindo huo!
 
Hivi kwa nini maeneo ambayo sisiem imeshinda matokeo yanatoka haraka? Kuna maeneo mengi ambayo upinzani umeonekana kushinda lakini hawatangazi rasmi. Mwaka huu hawataweza kabisa maana wadau hawalali kabisa
 
Kwani naskia huko si ndo wanakotoka nyumba girl kwa wingi!
 
Huko kunafahamika. Kuna mtaji tosha wa CCM.

Huko hakuna watu wanaojua Tanzania yetu imetoka wapi, ipo wapi, na inatakiwa kwenda wapi... ndo maana bado wamelala, wanaendelea kuleweshwa na ulaghai wa CCM. Wataamka tuu siku moja..!
 
CCM oyeeee!! Ushindi wa kishindo... ushindi wa manyoya!!! Go green .... PMSL :smile-big:
 
Pia wafungua visoda saaan!!! Kama JK anavyosema hizo ndizo ajira 1,000,000 alizo ahidi!!:doh:

Sishangai Muheza, machungwa ni mengi sana, wakila wakashiba wanona ni neema..waache CCM wajifariji huko lkn watalala chali tu muda si muda
 
Back
Top Bottom