CCM yafanikiwa: Movie ya Lwakatare yafunika kabisa unyama dhidi ya Kibanda

wakati tukiendelea na porojo za kushitakiwa kwa Rwakatare na yule dogo Ludovich, serikali na ccm wanatabasamu pembeni kuwa mchezo waliokuwa wameukusudia umefanikiwa.

ccm na serikali wamehusika KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE na Kujeruhiwa kwa Mhariri Kibanda kwa kila namna ya ushahidi uliopo. SASA msala ukawa ni namna gani wataidanganya jamii isahau habari za Kibanda na kuhamisha mind katika sakata la Kibanda.

wamefanikiwa na kama vyombo vya habari vitalala , vijiandae swala hili kuzimwa kama la ULIMBOKA.
 
Kwa sasa hata serikali hii dhalimu ikikiri kuwa imemtesa Kibanda hakuna mtu wa kuifanya kitu.

Cha msingi tuendelee na COUNTDOWN to 2015 then tusirudie makosa ya 2005 na 2010 ya kukabidhi mustakabali wa maisha yetu kwa msanii ambaye ni DHAIFU
 
hakika, jamii lazima ianze kujielewa na kujitambua kuwa wadhalimu wameamua kuingia mstari wa mbele dhidi ya wapenda haki.
 
Kwa sasa hata serikali hii dhalimu ikikiri kuwa imemtesa Kibanda hakuna mtu wa kuifanya kitu.

Cha msingi tuendelee na COUNTDOWN to 2015 then tusirudie makosa ya 2005 na 2010 ya kukabidhi mustakabali wa maisha yetu kwa msanii ambaye ni DHAIFU

Hapo kwenye blue rafiki tunaouwezo wa kusema nao ni kuungana kama wazalendo na kuwaambia viongozi wetu imetosha.Tuwaelimishe na wale pia wanaopata vijisenti kuwa mwisho wa hivyo vijisenti huwa ni majuto na kilio.Uwezo tunao,nia tunayo na sababu tunayo ya kuwaeimisha.(Nimenukuu maneno ya Mw.JK Nyerere
 
sidhani watu kama wanakumbuka lile janga la elimu na kufeli kwa form four's. - nafikiri wote sasa tumehamia kwa Lwakatare!!

Yes, kuhamisha attention ya public ni moja ya majukumu ya vyombo vya dola.
 
sidhani watu kama wanakumbuka lile janga la elimu na kufeli kwa form four's. - nafikiri wote sasa tumehamia kwa Lwakatare!!

Yes, kuhamisha attention ya public ni moja ya majukumu ya vyombo vya dola.

na ndio karata wanayoichezaaa
 
Hebu Tujikumbushe majanga ambayo mpaka sasa hatuyakumbuki tena
1. Janga - Mwandishi wa habari Daudi Mwangosi anauwa akiwa kazini, akiwa anariporti habari za mkutano wa siasa. Tukiwa bado tunajiuliza kulikoni jamani mambo haya ohoo mara

2. Janga la Gesi ya Mtwara (wana ntwara wakajia juu serikali - serikali nayo ikasema kuna mkono wa wanasiasa kutaka umaarufu likiwa bado linafukuta pamoja na vurugu za kuchoma ofisi za Halmashauri ya masasi na magari ya viongozi mara ohoo

3. Janga la Bunge --Vurungu Bungeni baada ya miswaada miwili ya wabunge wa upinzani kugonga mwamba ambayo ikaenda sabamba na hoja ya kutorushwa kwa matangazo ya bunge Live - hili nano likawa gumzo nchini, kutahamaki ghafla matokeo hayoo

4. Sakata la matokeo ya kidato cha nne - hii ilikuwa moto zaidi baada ya CDM kusema watu wote tuandamane kumwengua waziri wa Elimu Mh. Kawambwa; watoto wakawa wameshora vikatuni kwenye karatasi za majibu, kali ilikuwa yule binti akaamua kumchora ZOMBI akiwa kagoma kuvaa viatu;

5. Wakati bado tunatafakari kulikoni - Padri wa Kanisa katoriki akapigwa risasi kule zanzibar, ikawa mshike mshike hadi sasa bado manguri wa upelelezi wa duniani FBI wakiwa wanamsaka mtuhumiwa.

6.HAtujamaliza hata kuomboleza msiba wa Padri wetu mpendwa mara tunasikia ndugu yengu Kibanda katekwa, kateswa na watu wasiojulikana akiwa karibia kabisa na nyumbani kwake; style ile ile ya ulimboka ya kungoa meno na kutoa kucha, lakini kibaya zaidi hawa wakaamua kumpa kilema cha maisha kwa kumtoboa jicho -- wanananchi tunasonokena vibaya sana, mwandishi kufanyikwa vitendo kama hivi

7. Hatujakaa sawa ki-akili tukiwa bado tunatafari mara tunasikia kuna Jasusi (GAIDI) limekamatwa - likiwa linapanga mipango ya kuteka mwandishi wa habari - video ikawekwa mitandaoni - kutahamaki kumbe ni Mh. Lwakatare Mbunge wa zamani wa jimbo la Bukoba Mjini na Mkurungezi wa Usalama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo; Bado tunajiuliza maswali lukuki hivi inawezekana kweli ukapanga mauaji ya kuwaangamiza waandishi wa habari kwa style ile?

Wakuu hii ndiyo single yetu ya 7 kwa sasa ; nafikiri wiki ijayo tunaweza kupata janga lingine as we move closer to 2015; kua uyaone na kama hujafa basi bado hujaumbika. issue hii imeshafikishwa kwa pilato.

Friday Njema;
 
Waandishi wa leo hii ni kama waliokuwa wakiishi enzi za Yesu Kristo!! wanafiki na wasaliti wakubwa kwa kisingizio cha maisha magumu!!
 
wakati tukiendelea na porojo za kushitakiwa kwa Rwakatare na yule dogo Ludovich, serikali na ccm wanatabasamu pembeni kuwa mchezo waliokuwa wameukusudia umefanikiwa.

ccm na serikali wamehusika KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE na Kujeruhiwa kwa Mhariri Kibanda kwa kila namna ya ushahidi uliopo. SASA msala ukawa ni namna gani wataidanganya jamii isahau habari za Kibanda na kuhamisha mind katika sakata la Kibanda.

wamefanikiwa na kama vyombo vya habari vitalala , vijiandae swala hili kuzimwa kama la ULIMBOKA.

Kweli mkuu.
 
No! Lengo lilikuwa ni kuhusisha utekwaji wa Kibanda na Chadema, bahati mbaya sinema imegoma kidogo. Angalia timing ya utekwaji wa Kibanda, kutolewa video na comments za wenye mpango huo. Bahati mbaya walioupanga akili yao ni ndogo na hawakuwa makini kihivyo, hawakuangalia kila kitu wakati wanapanga.
 
wakati tukiendelea na porojo za kushitakiwa kwa Rwakatare na yule dogo Ludovich, serikali na ccm wanatabasamu pembeni kuwa mchezo waliokuwa wameukusudia umefanikiwa.

ccm na serikali wamehusika KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE na Kujeruhiwa kwa Mhariri Kibanda kwa kila namna ya ushahidi uliopo. SASA msala ukawa ni namna gani wataidanganya jamii isahau habari za Kibanda na kuhamisha mind katika sakata la Kibanda.

wamefanikiwa na kama vyombo vya habari vitalala , vijiandae swala hili kuzimwa kama la ULIMBOKA.

Acha porojo wewe, matukio ya kigaidi kuanzia lile la ULIMBOKA, KIBANDA, MSACKY na mengine mengi ni kitu kilekile, LWAKATARE na CHADEMA yake wanapaswa kuwajibika na ndiyo maana SLAA alikuwa anakimbilia kuyaongelea ili kutaka kujivua kisanii.
 
Kwa sasa hata serikali hii dhalimu ikikiri kuwa imemtesa Kibanda hakuna mtu wa kuifanya kitu.Cha msingi tuendelee na COUNTDOWN to 2015 then tusirudie makosa ya 2005 na 2010 ya kukabidhi mustakabali wa maisha yetu kwa msanii ambaye ni DHAIFU
Nadhani sasa mmeanza kuona wenyewe kuwa CHADEMA siyo tu wasanii bali pia magaidi, ndiyo maana wale mliokuwa mnadhani CHADEMA kina nia njema sasa mmebaki midomo wazi na kuanza kutapatapa, kazi kwenu.
 
Nadhani sasa mmeanza kuona wenyewe kuwa CHADEMA siyo tu wasanii bali pia magaidi, ndiyo maana wale mliokuwa mnadhani CHADEMA kina nia njema sasa mmebaki midomo wazi na kuanza kutapatapa, kazi kwenu.
hata baada ya kujitahidi kuandika haya thatha, usiku ukilaa vinarudi kwenye mawazo yako na unajiuliza kabisa na pengine roho kukusuta jinsi unavyoishi na unafiki, na lazima unahoji maisha yako ila kwa jinsi shetani alivyokushika unaona poa tu, ngoja mi nipate ugali victims watajijua. deep down your heart ukweli wa yale mnayoyafanya mnaujua, na hiyo ni mbaya, itawamalizeni, amini usiamini, wewe unaiba halafu unatengeneza mtu mwingine aitwe mwizi? akishambuliwa na kuuawa na ukweli unaujua maishani mwako utakuwa na amani gani wewe?
 
Hao kina thatha hawakosi duniani, tawala dhalimu zote zinao watu hao. Isipokuwa yana mwisho ndiyo maana gaddafi aliingia kwenye calvati kwani akina thatha wake wote walishamalizika na/au walimkimbia! Hii ni dunia na dunia ni watu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom