CCM yaendelea kung'ara, yavuna wanachama wapya 41.

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
652
441
Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Kilonzire kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam, kimezoa wanachama wapya 41.

kati ya wanchama hao wapya, saba wametoka katika Chama cha demokrasia na manedeleo (CHADEMA) wanachama hao wapya walipokelewa na Mwenyekiti wa chama hicho kata ya kunduchi Michael Urio, aliyekuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kuwapokea wanachama hao.

akizungumza katika mkutano huo, Urio alisema CCM itaendelea kuwapokea wanachama wapya kwa vile ndicho chama baba na mama.

Alisema ni vema wale wote ambao waliopotea kwa bahati mbaya na kujiunga na vyama vya upinzani wakidhani ni vyama sahihi kwao kwa ajili ya maendeleo, wakatumia kipindi hiki kurejea CCM.

Pia aliwaaka wanachama na wapenzi wa CCM kuendeleza mshikamano wakati wakielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwakani.

Katika habari nyingine;
Chama Cha mapinduzi kata ya Duga, halmashauri ya tanga kimejizolea wanachama wapya 165 na kupeleka salamu ka wapinzani kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 watahakikisha wanachukua maeneo yote katika halmashauri hiyo.
 
pole yake kama miaka 50 bado wanatafuta wananchama wapya tena waliotoka chadema!! Ila niwaambie tu wakitoka 7 wanaingia 70 kazi mnayo
 
Wanatafutwa au wanatoka cdm kurudi kwao, na wengine wanahitinu toka UVCCM kuwa wanachama, kama hiyo haitoshi &0% ya wanachi si wanachama wa chama chochote hivyo wanapoamua kujiunga ccm kaa kimya; pole mamsabu sorry mamseri (maana kwetu mamseri ni mamsabu ahaaa)
 
image.jpg Hawa ni miongoni mwa hao wanachama wapya?
 
polen sn magamba mpaka imefka hatua ya kujivunia wanachama7! hii kwel ni dalili ya kuzikwa
 
polen sn magamba mpaka imefka hatua ya kujivunia wanachama7! hii kwel ni dalili ya kuzikwa
Kama CDM inavyojivunia mwanza hamna mmoja, Yule bint was sire aliyepokelewa kwa mbwembwe pale landmark Juzi naMwenyekiti wenu mfalme mbowe
 
Unawadhalilisha waazilishi wa chama!!!
Ni chama cha ku
Think big na ku act big!!!!!!
 
Hao wanachama wa Mabwepande si walikuwa pia wanachama Bonde la Jangwani kabla hawajakumbwa na Mafuriko? Isije kuwa mnajiibia na kujirudishia wenyewe!:A S 39:
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Kilonzire kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam, kimezoa wanachama wapya 41.

kati ya wanchama hao wapya, saba wametoka katika Chama cha demokrasia na manedeleo (CHADEMA) wanachama hao wapya walipokelewa na Mwenyekiti wa chama hicho kata ya kunduchi Michael Urio, aliyekuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kuwapokea wanachama hao.

akizungumza katika mkutano huo, Urio alisema CCM itaendelea kuwapokea wanachama wapya kwa vile ndicho chama baba na mama.

Alisema ni vema wale wote ambao waliopotea kwa bahati mbaya na kujiunga na vyama vya upinzani wakidhani ni vyama sahihi kwao kwa ajili ya maendeleo, wakatumia kipindi hiki kurejea CCM.

Pia aliwaaka wanachama na wapenzi wa CCM kuendeleza mshikamano wakati wakielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwakani.

Katika habari nyingine;
Chama Cha mapinduzi kata ya Duga, halmashauri ya tanga kimejizolea wanachama wapya 165 na kupeleka salamu ka wapinzani kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 watahakikisha wanachukua maeneo yote katika halmashauri hiyo.

Hao hao akipita rais, watahamia tena ccm.

Hata mi ukinipa hela,ukanisomba kwa lori nitazuga nimehamia ccm.
 
kuongoza ni kuonyesha upendo,kiongozi wa Watuhuyaishi ya anaowaongoza.

Kwa ajili ya media!!
Wakati anatumbua vyuku mbona media haitoi!!
Huyu mtoto pilau mpaka mwaka mpya!!!!
Nguo je?
Na kinana anaishije kama huyo mtoto!!
Mambo ya kufikirika tuuu!!!
UNAFIKKI!!!!!!!!!!
 
Wajinga ndio watabaki huko huko na watu wenye akili akili timamu wameshang'atuka kitambo.

ccm=chama cha majangili
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom