CCM yadai Nasari hana Mke nae ahoji Mbona Spika hana Mume?

Hawa magamb badala ya kuwaeleza wapiga kura wamewafanyia nn miaka 50 ya uhuru na watawafanyia nn wananchi baada ya kukamata jimbo tena wao wanaleta siasa za maji taka.
 
Hawa magamb badala ya kuwaeleza wapiga kura wamewafanyia nn miaka 50 ya uhuru na watawafanyia nn wananchi baada ya kukamata jimbo tena wao wanaleta siasa za maji taka.

Leo wamesema matatizo sugu ya wanaarumeru yataisha ikiwa sioi atakuwa mbunge. Ila wamesahau kuwa usugu wa matatizo hayo ni matokeo ya ccm kukosa sera nzuri za kuyatatua. Mi naona wanajichanganya tu.
 
Lakini jamani si Mheshimiwa Spika anayo Haki kama wanawake wengine ya Mahusiano! Maana tunatoka nje ya Mada kabisa! Kama Nasari kampenda bado anayo Haki ya kumueleza endapo anaona atamfaa.

Mheshimiwa ni Muungwana sana tu kuliko hivyo mnavyoleta Mtihani na kujijibu wenyewe kwa swala la Kijana kutokuoa kwake!

Mimi naamini Siasa za Nchi yetu zimekuwa na CCM na CHADEMA ndiyo vyama tunavyovitegemea katika mustakabali wa Taifa letu kwa vizazi vijavyo na Tanzania tunayoitaka!

Hivyo Vyama vyetu vitambue kuwa Hii ni Nchi yetu sote na si ya CCM pekee, kwani kufanya hivyo nikutengeza haya yanayotokea wakati huu wa Kampeni maana yawezekana tukaelezwa Flani Nanii yake Haipandi Mtungi au Flani Mbona yake imelala!

Mfano Mzuri kwa Mheshimiwa Wasira kuitwa NYANI tena GENDAHEKA! Hii ni hatari sana kwani CCM wajue mara zote wamekuwa Kioo cha Taifa hivyo wanapokosea wajue wako wa Kurekebisha Kasoro zao!.
 
Baada kuona ccm imezidi kumsakama kwa wapiga kura kuwa hafai kwenda Bungeni sababu mke, mgombea ubunge wa CDM Bw Nasari leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii mjini Usa River, alijibu mapigo kwa kuwataka ccm wakahoji kwanza kuwa mbona Spika wa Bunge Bi Anna Makinda hana Mume? Nae Godbless Lema aliwaambia wapiga kura wamchague kijana wao Nasari aliyezaliwa na kukulia na kusomea Arumeru akawawakilishe Dodoma, wasimchague Mvaa Kihereni kwani Dodoma hakuna mashindano ya Mamiss Walimbwende, huyo mvaa Kihereni aende Mombasa ndio kwenye wenzake, kisha akaanza kuimbisha " Mtoto huyu vipi? Mtoto huyu si riziki!

Kama ni kweli Lema aliongea haya maneno amedhalilisha chama,wao wanapaswa kuonesha tofauti,hapo hana tofauti yoyote na Silinde&co,Kina Zitto,Mnyika Dr Slaa wawe
wanawafunda.
 
1.''Wanasema eti mimi sina mke!" ,"sawa nakubali,ila biblia inasema, ktk mithali, kuwa mke mwema mtu hupewa na Mungu na pia nataka kuwauliza ,kwani bungeni tunaenda kusuluhisha ndoa?"
2."Eti wanasema NASSARI sina kitambi ahhaa!" ..."kwani ndugu zangu, bungeni tunaenda kucheza mieleka?!"
3."Hawa CCM wanasema eti NASSARI mimi ni mdogo!"( hapa anawauliza wasikilizaji) "mnataka kubwa jinga au Dogo janja"?umati unaitikia "dogo janjaaaaa!"
4."Wanasema eti NASARI mimi ni maskini!sawa!" hapa anawauliza wasikilizaji kama miongoni mwao yupo tajiri,nao wanaitikia "hakunaaa! ", naye anajibu "basi nichagueni mimi maskini mwenzenu nikawawakilishe bungeni!"
Baada ya hapo kamanda anaingia kwa undani kujadili masuala ya msingi.
Huyo ndiye Joshua Samweli Nassari (26) aliyesababisha CCM ikusanye mawaziri ARUMERU,ambao hata hivyo wanapwaya kila iitwapo leo.
 
Baada kuona ccm imezidi kumsakama kwa wapiga kura kuwa hafai kwenda Bungeni sababu mke, mgombea ubunge wa CDM Bw Nasari leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii mjini Usa River, alijibu mapigo kwa kuwataka ccm wakahoji kwanza kuwa mbona Spika wa Bunge Bi Anna Makinda hana Mume? Nae Godbless Lema aliwaambia wapiga kura wamchague kijana wao Nasari aliyezaliwa na kukulia na kusomea Arumeru akawawakilishe Dodoma, wasimchague Mvaa Kihereni kwani Dodoma hakuna mashindano ya Mamiss Walimbwende, huyo mvaa Kihereni aende Mombasa ndio kwenye wenzake, kisha akaanza kuimbisha " Mtoto huyu vipi? Mtoto huyu si riziki!

Kama hii ni kweli...basi leo nimeconfirm kuwa Godbles Lema hayuko sawa 'upstairs', japo wakati mwingine ni kweli 'usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo', ila hii imepitiliza. Siamini kama wanachama/wapenzi/mashabiki wote wa CHADEMA ni 'straight', watakuwepo maGay...Lema anataka wajiskiaje? Yaani ni watu wasio na thamani kabisa...si ridhki?!
 
Kwa hiyo kama Spika hana mume na Nassari kaamuwa asiwe na mke? what a childish way of argument!

Kama kigezo chake ni Spika basi Nassari atafute mume.
 
unataka aopoe hilo jimama alipeleke wapi?labda kwenye national museum kwanza nassari jembe letu atajificha wapi na uso wa bwana?
 
Baada kuona ccm imezidi kumsakama kwa wapiga kura kuwa hafai kwenda Bungeni sababu mke, mgombea ubunge wa CDM Bw Nasari leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii mjini Usa River, alijibu mapigo kwa kuwataka ccm wakahoji kwanza kuwa mbona Spika wa Bunge Bi Anna Makinda hana Mume?

mkuu,

sasa umegusa kiini cha roho.
 
Back
Top Bottom