Elections 2010 CCM yachukua Korogwe.

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Monday, 01 November 2010 11:30 0diggsdigg

Burhani Yakub, Tanga
MSIMAMIZI wa uchaguzi wa jimbo la Korogwe mjini Christina Midello amemtangaza Yussuph Abdallah Nassir wa CCM kuwa mbunge wa jimbo hilo baada ya kupata ushindi wa kura 12090.

Nassir anafuatiwa kwa karibu na Kalistus Shekibaha wa Chadema aliyepata kura 1722, huku Kumaa Kimweri Mgogo wa CUF akipata kura 400 na Tony Kamkanda Tony wa SAU akiambulia Kura 225.

Kwa upade wa Urais Jakaya Kikwete wa CCM alipata kura 10761, huku Dk Wilbroad Slaa wa Chadema akipata kura 3135 na Profesa Ibrahimu Lipumba wa CUF akipata kura 394.

Wengine ni Peter Kuga Mziray wa APPT Maendeleo aliyepata kura 110, Hashim Rungwe wa NCCR Mageuzi kura 19 ,Mutamwegwa Mugahywa wa TLP kura 5 na Fahm Dovutwa wa UPDP Kura 6.

Source: Mwananchi
 
Tatizo la JK maeneo ambayo ameshinda hayana idadi kubwa wa watu na hapo ndipo kamasi zitakapomtoka.......
 
jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tukishinda wanaukombozi 2shangilie, 2kishindwa pia tumpe bigup mshinde, na hiyo ndio sera ya mabadiliko ya kweli, twende ikulu kuleta maendeleo na c kulipiza kisasi
 
Back
Top Bottom