Elections 2010 CCM Yaangukia Pua Jimboa la Meatu

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,315
7,113
Taarifa nilizozipata muda huu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM (W) - Meatu (Jina limehifadhiwa) ni kwamba mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Khamis Salum Mbuzi ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge kwa jimbo la Meatu ambalo limenyakuliwa na Mgombea kupitia CHADEMA Mh. Meshack Opulukwa.

Kwa maelezo ya kiongozi huyo Kata iliyowaangusha CCM ni Kata ya Mwamishali ambayo ndo ilikuwa ya mwisho kuwasilisha matokeo yake. Kwa jimbo la Kisesa ambalo ni jimbo dada na Meatu limenyakuliwa na mgombea wa CCM Mh. Joelson Luhaga Mpina ambaye alikuwa anatetea kiti chake na amefanikiwa.

Hongera CHADEMA kwa kazi nzuri!!!!!!!!
 
taarifa nilizozipata muda huu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa ccm (w) - meatu (jina limehifadhiwa) ni kwamba mgombea ubunge kupitia ccm ndugu khamis salum mbuzi ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge kwa jimbo la meatu ambalo limenyakuliwa na mgombea kupitia chadema mh. Meshack opulukwa.

kwa maelezo ya kiongozi huyo kata iliyowaangusha ccm ni kata ya mwamishali ambayo ndo ilikuwa ya mwisho kuwasilisha matokeo yake. Kwa jimbo la kisesa ambalo ni jimbo dada na meatu limenyakuliwa na mgombea wa ccm mh. Joelson luhaga mpina ambaye alikuwa anatetea kiti chake na amefanikiwa.

hongera chadema kwa kazi nzuri!!!!!!!!

tumesema tunataka report kutoka nec siyo tu unakurupuka na kuanza kuchanganya habari !
 
Watanzania hii sio ze utamu...leteni credible news zinazoeleweka zikiwa pamoja na data

Kweli kabisa zije habari ambazo ni za kweli maana leo naona presha zinapanda na kushuka, mara huyu aseme hivi yule aseme vile.
 
Watanzania hii sio ze utamu...leteni credible news zinazoeleweka zikiwa pamoja na data

Unahitaji data gani zaidi ya kupata taarifa zenye uhakika? Mtu aliyenipa taarifa hizo ni wa kutoka CCM kwenyewe na nimepigia jamaa zangu wengi tu huko Meatu wanasema jibu hilo hilo!! Karagha bhaho!!! TBC Wenyewe unawasikia wanavyotangaza ya kwao tu!!! Bila kutangaza ya wagombea wengine.
 
kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mdau mmoja aliyeko huko meatu zimethibitisha kuwa mgombea wa chadema ameshinda uchaguzi jimbo hilo, jimbo la kisesa limeenda ccm. hizo ni habari za uhakika kutoka kwa mdau wa serikalini aliyeko huko. hakunipa idadi ya kura ila amethibitisha kuwa ni kweli.
Kishapu imeenda ccm
 
Taarifa nilizozipata muda huu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM (W) - Meatu (Jina limehifadhiwa) ni kwamba mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Khamis Salum Mbuzi ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge kwa jimbo la Meatu ambalo limenyakuliwa na Mgombea kupitia CHADEMA Mh. Meshack Opulukwa.

Kwa maelezo ya kiongozi huyo Kata iliyowaangusha CCM ni Kata ya Mwamishali ambayo ndo ilikuwa ya mwisho kuwasilisha matokeo yake. Kwa jimbo la Kisesa ambalo ni jimbo dada na Meatu limenyakuliwa na mgombea wa CCM Mh. Joelson Luhaga Mpina ambaye alikuwa anatetea kiti chake na amefanikiwa.

Hongera CHADEMA kwa kazi nzuri!!!!!!!!

Hapa masharti na vigezo vya NEC bado havijazingatiwa. Tusubiri kwanza.
 
Back
Top Bottom