Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,717
- 239,300
Huu ndio ukweli , kwamba katika nchi hii yenye majiji matano tu mithili ya kiganja cha mkono wa binadamu ambayo ni Mwanza , Mbeya , Arusha , Tanga na Dar es salaam , UKAWA imechukua manne .
Hata hilo ambalo inasemekana ccm wamechukua lina walakini .
Hii ni dalili mbaya sana kwa ccm na washirika wake , kwa vile ccm ina wenyewe , basi tuchukulie washirika wake ni wale 46 wanaosubiri huruma ya viongozi .
Kwa nchi kama hii miji mikubwa ( kwa maana ya majiji , ndio taa ya miji midogo ) , vile vile miji midogo ni taa ya vijiji vinavyozunguka , kwa mfano jimbo la Kyela , pamoja na ccm kuonekana kushinda kata za mashambani lakini kupoteza kwenye kata zote za mjini kumewafanya watu wa vijiji kuona aibu kujitambulisha kama wanaccm wanapokuja mjini kuuza mazao yao kwa hofu ya kuonekana washamba , Kyela hivi sasa ni aibu na fedheha kwa mtu kuwa mwanaccm .
Uhakika ni kwamba ushindi UKAWA wa majiji haya manne utakomboa nchi , ni suala la muda tu.