CCM ya Nape na JK: Rostam Kajiuzulu, Chenge Kupelekwa mahakamani na Lowassa Je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ya Nape na JK: Rostam Kajiuzulu, Chenge Kupelekwa mahakamani na Lowassa Je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiwalanikwagude, Jul 14, 2011.

 1. k

  kiwalanikwagude Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayawi hayawi sasa yamekuwa , ni baada ya Rostam kung'oka rasmi, huku Chenge akiwa katika kumi na nane ya kufikishwa kunako korti kuhusiana na udalali wake kwenye sakata la Rada, lakini kuna swali hapa vipi kuhusu Lowassa? au ndiyo kama watani zangu kule kisiwandui Zanzibar wanavyomtania Jk kuwa asithubutu kwa Lowassa kwa maana huyo ndiyo "dola yenyewe!"
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  atakuwa raisi 2015
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Ishu ya Lowasa ni VERY COMPLICATED. Mnakumbuka enzi za two boys?
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  Tz bila rais inawezekana!?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tanzania kwa sasa, bado tupo kwenye siasa za maji taka. Ni nzuri kwa upande mmoja na si nzuri kwa upande mwingine. Ni vyema kila anaeshutumiwa ubadhirifu ashtakiwe na achukuliwe hatua zinazostahili.

  Tumeona, kwa mara ya kwanza katika Tanzania. Rais ambae haegemei kwa yoyote na Rais aliyehimili vishindo vya kuwafikisha mawaziri,makatibu wakuu mahakamani panapo ushahidi.

  Tumeona waziri mkuu akijiuzulu bila kutetewa na Rais na tumeona kwa mara ya kwanza fedha zilizotumika vibaya, ziwe za EPA au Rada zikifatiliwa na kurejeshwa.

  Kwa hayo machache, huyu Kikwete anastahili sifa zoooote. Mbali ya mengi mengine anayoyafanya kwa ufanisi mkubwa kabisa.
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uzushi nani mwenye ubabu kumpeleka chenge mahakamani?
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ili tujue kama wewe ni zomba wala sii zoba jibu kweli au si kweli hesabu hizi nne (1) 2+2=4 (2) 2*2=4 (3) 3+3=6 (4) 3*3=6
   
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  DAILY NEWS,todaytiming of Mr Aziz's announcement was not immediately clear, but it will surely pile pressure on Mr Lowassa and Mr Chenge, who have until the next NEC meeting, probably next month, to make up their minds.

  The Igunga legislator did not indicate if he discussed his move with his colleagues, who analysts believe will have more difficult decisions to make because of their interest in direct politics. By contrast, Mr Aziz has been a back stage player in politics, only using the influence to harness his businesses.

  That probably explains why he didn't opt for a cabinet post or other high ranking government position, which he could easily land after managing presidential candidate Jakaya Kikwete's campaign in 2005.

  "For him politics is commerce," remarked a Dar es Salaam businessman, who knows Rostam well. While maintaining that not all the allegations levelled against him were true, Mr Aziz admitted yesterday that his name had been associated with those making the ruling party unpopular and undermining its performance in the last general elections
   
 9. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,556
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Mkimgusa Lowasa tu mumekwisha, kitawaka, au mnabisha?
   
 11. W

  Willegamba Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkigusa Lowasa umeme utawaka Chadema wakichukua nchi.
   
 12. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  jamani ccm hatuna jinsi tena, tusioneane aibu, ndivyo hali inataka hivyo, ANC africa kusini waliweza kung'oa hadi bosi wa chama na kupoteza uraisi sembuse chenge na lowasa, who are they?ukisha kosa uadilifu basi, hakuna nafasi nyinginyigi hapa. mzee wa monduli, hizo ndoto za kitandani achana nazo,epuka tamaa mbaya, ukifanya ivyo ccm tutashindwa vibaya 2015,umechafuka sio siri

  NAPE PIGA MZIGO achana na wadandia chama
   
 13. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Rostam arudishe na remote control yetu!
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hili ndilo la muhimu kuliko kujivua gamba
   
 15. m

  matawi JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unastahili kuitwa zumbukuku siyo zomba
   
 16. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuendelea Kujipanga kwa Ujio mpya!Kwani Yeye Alishaga Jiuzulu tangu 2008 na Waliocheka walicheka na walihuzunika walihuzunika!
   
 17. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Zomba!...Zomba!...Zomba!.... Magamba hawajifichi hata wafukiwe ktk mahandaki marefu namna gani! Ushahidi umepatikana kwa akina Mramba lakini Richmond aka Dowans na Kagoda umekosekana japo inadaiwa wamerejesha baadhi ya pesa! Utawadanganya wangapi kwa hadithi hizi za Abunuasi? JK, Rostam, Lowasa, Chenge na nyie wafuasi wao wote majizi. Rais wenu ni mwoga anapohisi atanyang'anywa madaraka na ulaji badala yake anatumia nafasi yake kuwaumiza wasiomsifia kinafiki kama hao aliothubutu kuruhusu wapelekwe mahakamani. Angekuwa kama unavyomsifu Rostam, Lowasa, Chenge, Mkapa na yeye mwenyewe wote wangekuwa Segerea miaka mingi sasa. Acha unafiki.
   
 18. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kaka wewe unandika ukiwa umezubaa ? Kuna mtu kaandika haya bila wewe kutaka ama kujua ? Wamefikishwa mahakamani then akenda kuwasafisha akina Mramba wakati wa uchaguzi na wakati anajua kuna kesi anasema ni wasafi je hajaingilia mahakama ? Kamba Zomba au zubaa ?
   
Loading...