CCM ya Magufuli yashangaa mikataba mibovu ya CCM Mkapa na Kikwete

mchotamaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
219
66
Watanzania hayawi hayawi yamekuwa CCM inakikimbia kivuli chake.Mgombea urais Bw.Magufuli anaishangaa mikataba tena anaiita MIBOVU ya wakubwa zake Mh.MKAPA Na Mh. KIKWETE.Bw.Magufuli ameonyesha mshangao huo wakati akinadi Sera za CCM .

Watanzania CCM ndio iliyoingia mikataba ambayo inalitesa Taiga hili na Wananchi wake.Watanzania wakati umefika wa kuikataa CCM kwani matunda ya nchi yanaliwa na Viongozi wachache na familia zao.Viongozi hao wanajichukulia Mali za watanzania na kuishi maisha ya PEPONI.
 
Sema watanzania wengine hawajitambui bado watachagua ccm licha ya mikataba mibovu isiyo na chembe ya faida kwa mtanzania,

Wakat wa kuamka sasa tuchague mabadiliko,

TUMCHAGUE LOWASSA......
 
Hili ni tatizo kubwa sana. Hivi wananchi kweli huyu mtu kweli tunadhani anaweza kuja kubadili mfumo mbovu wa chama chake hali ya kuwa yeye mwenyewe ndiye aliyewekwa hapo na watu hao hao waliosababisha mfumo huo huo mbovu? Eti anashangaa khs mikataba mibovu!!! Huu ni upuuzi kwa mtu anayejitambua kupigia kura chama hiki hali ya kuwa kimefanya makosa mengi ya kiufundi. Japo hakuna aliye perfect lkn hawa wenzetu wamezidi.
 
[h=2]'Mbona mfalme yuko uchi?' Hongera Mch. Mtikila[/h]
Mada ya mchungaji mtikila leo ktk kipindi cha Tuongee-Star Tv, imenikumbusha ile hadithi ya 'mfalme mbona yu uchi mama?' Tunaomba irudiwe mara kwa mara kwa mara kwa mara kwa mara.
Bila kigugumizi kaongea ukweli mtupu juu ya wagombea wetu na kilicho nyuma ya pazia ktk ugombea uraisi wa Lowasa.

Nakupa onyo wewe utakayetaka kuitukana mada hii. Yahu Eloi wetu atakuzima. Chunga ubongo wako.​
 
Anashangaa kwa kuwa mikataba kama ya richmond, ununzi wa vifaa vya kivita hata escrow chimnuko lake limewabwba Mkapa na Sumaye, Kikwetw na Lowasa. As a new lida he saw all na sasa he must say them. Inakuwaje una wanasheria wakuu wa serikali wasijue kuwa hiki ni kibaya. Tunamsubiri aje afumue na mengine.

Piga hua Lowasa atatuchafulia, kwani hata waliokufa wanajua yeye ni majanga.
 
Watanzania hayawi hayawi yamekuwa CCM inakikimbia kivuli chake.Mgombea urais Bw.Magufuli anaishangaa mikataba tena anaiita MIBOVU ya wakubwa zake Mh.MKAPA Na Mh. KIKWETE.Bw.Magufuli ameonyesha mshangao huo wakati akinadi Sera za CCM .

Watanzania CCM ndio iliyoingia mikataba ambayo inalitesa Taiga hili na Wananchi wake.Watanzania wakati umefika wa kuikataa CCM kwani matunda ya nchi yanaliwa na Viongozi wachache na familia zao.Viongozi hao wanajichukulia Mali za watanzania na kuishi maisha ya PEPONI.

Waliokuwa wanakula matunda hayo peke yao ni mafisadi wachache kama Lowassa na Sumaye na vibaraka wao kama Rostam Azizi,Change na Karamagi, CCM ya Magufuli haina mafisadi hao.Huu ndio mwisho wa historia ya ufisadi wao hapa nchini.
 
Sema watanzania wengine hawajitambui bado watachagua ccm licha ya mikataba mibovu isiyo na chembe ya faida kwa mtanzania,

Wakat wa kuamka sasa tuchague mabadiliko,

TUMCHAGUE LOWASSA......

Watanzania wanakumbuka ufisadi wa Lowassa na kundi lake.

Kati ya fisadi Lowassa akiwa nyuma yake na akina Rostam Azizi,Karamagai na the likes na Mwadilifu na Mchapakazi Magufuli uchaguzi ni mwepesi sana, Watanzania watamchagua mwadilifu na kumtosa fisadi Lowassa, anza kuukubali ukweli huo kuwa kamwe fisadi hataingia ikulu.
 
Anashangaa kwa kuwa mikataba kama ya richmond, ununzi wa vifaa vya kivita hata escrow chimnuko lake limewabwba Mkapa na Sumaye, Kikwetw na Lowasa. As a new lida he saw all na sasa he must say them. Inakuwaje una wanasheria wakuu wa serikali wasijue kuwa hiki ni kibaya. Tunamsubiri aje afumue na mengine.

Piga hua Lowasa atatuchafulia, kwani hata waliokufa wanajua yeye ni majanga.

Lowassa ni janga kubwa nchi hii,yeye ba kundi la mafisadi wenzake akina Rostam,Chenge,Karamagi na wengine kama awaitavyo Magufuli majizi haya, sehemu yao ni jela, Nina imani na Magufuli,ni mtu anayeshika anachoongea.

Twendeni na Mwadilifu na Mchapakazi
 
Hili ni tatizo kubwa sana. Hivi wananchi kweli huyu mtu kweli tunadhani anaweza kuja kubadili mfumo mbovu wa chama chake hali ya kuwa yeye mwenyewe ndiye aliyewekwa hapo na watu hao hao waliosababisha mfumo huo huo mbovu? Eti anashangaa khs mikataba mibovu!!! Huu ni upuuzi kwa mtu anayejitambua kupigia kura chama hiki hali ya kuwa kimefanya makosa mengi ya kiufundi. Japo hakuna aliye perfect lkn hawa wenzetu wamezidi.

Hiyo mikataba waulize wahujumu uchumi kwa maslahi binafsi hawa akina Sumaye na Lowassa,
 
Mkuu usisahau Mzee malecela amesema wachafu wachache wametoka CCM tafsiri yake ni kwamba Wachafu wengi bado wako CCM siunajua kuwa CCM ndio Nyumba ya Mafisadi hata Huyo Magufuli aliyehonga Na kugawa Nyumba za watanzania?
 
Usiseme mkapa na kikwete bila kuwataja sumaye na lowasa

Kuna watu wanaishi ndotoni,wanadhani hii ni ile Chadema ya akina Dr Slaa.

Chadema ya sasa imetanalaki mafisadi hao waliohujumu nchi yetu, Lowassa+Sumaye+Masha+Msindai wakiwa nyuma yao na Rostam Aziz, Karamagi,Andrew Chenge, na mafisadi wenzao, Tunaenda na mwadilifu Magufuli.

Na namuomba Magufuli amrudishe Muhongo Nishati na Madini,ni wakati wa kazi tu, mafisadi na vibaraka vyao watafute nchi ya kwenda
 
Watanzania hayawi hayawi yamekuwa CCM inakikimbia kivuli chake.Mgombea urais Bw.Magufuli anaishangaa mikataba tena anaiita MIBOVU ya wakubwa zake Mh.MKAPA Na Mh. KIKWETE.Bw.Magufuli ameonyesha mshangao huo wakati akinadi Sera za CCM .

Watanzania CCM ndio iliyoingia mikataba ambayo inalitesa Taiga hili na Wananchi wake.Watanzania wakati umefika wa kuikataa CCM kwani matunda ya nchi yanaliwa na Viongozi wachache na familia zao.Viongozi hao wanajichukulia Mali za watanzania na kuishi maisha ya PEPONI.

Anashangaa kivuli chake...
 
Mkuu usisahau Mzee malecela amesema wachafu wachache wametoka CCM tafsiri yake ni kwamba Wachafu wengi bado wako CCM siunajua kuwa CCM ndio Nyumba ya Mafisadi hata Huyo Magufuli aliyehonga Na kugawa Nyumba za watanzania?
Hapana kasema ccm kulikuwa na wachafu wachache sana ambao ndiyo wametoka ccm kwahiyo ccm sasa haina doa hata dogo.
 
Hili ni tatizo kubwa sana. Hivi wananchi kweli huyu mtu kweli tunadhani anaweza kuja kubadili mfumo mbovu wa chama chake hali ya kuwa yeye mwenyewe ndiye aliyewekwa hapo na watu hao hao waliosababisha mfumo huo huo mbovu? kupewaEti anashangaa khs mikataba mibovu!!! Huu ni upuuzi kwa mtu anayejitambua kupigia kura chama hiki hali ya kuwa kimefanya makosa mengi ya kiufundi. Japo hakuna iye perfect lkn hawa wenzetu wamezidi.
kama mtu aliyekua anashutumiwa na cdm kwa miaka nane kama fisadi wahed amesafishwa kwa siku moja na cdm na kuteuliwa kwa siku moja kua mgombea urais apambane na ufisadi ndio magufuli mtu muadilifu siku zote ashindwe kusafisha ufisadi?
 
Back
Top Bottom