CCM ndio inajielewa Sasa inatudhihilishia wananchi kuwa siyo Mali ya mtu/watu fulani. Kuna genge moja la kisiasa ukishakuwa maarufu tu wa kutukana tukana hovyo wewe ndo unakuwa ushajihakikishia utawala wa kudumu kugombea ndani ya Chama Tena utapitishwa kwa kura za ndio na Hapana utafikiri wanachagua mwenyekiti wa TANU.
CCM itaendelea kuwa kioo Cha siasa nchini na taasisi inayoendesha vyama vyingine nchini. Ukitaka kuamini Hilo CDM ipo tayari hata kumuengua mgombea wake ili tu kigogo aliekatwa kutoka CCM apewe yeye kugombea.
Rubish kioo cha kupitisha hao akina gwajiboy na mavieo yao ya ngono mitandaoni. Aibu napata mimi hicho chama kimekwisha kinatuletea aibu watu wa kawe kwakweli. Halafu unaonekana hujasoma contents za uzi umeanzio mipasho badala ya kusoma uelewe nini kinaongewa Mr. Masele anajitambua na kujiheshimu sana ni mtu makini sana ndiyo maana walimchagua awaongoze hilo bunge la Africa. Huko wanachagua mtu mwenye uwezo kutompitisha ni makosa makubwa. Kuna siku atakuja kuinuliwa kwakuwa ni mtu muadilifu asiye na makandokando kama wengine wapenda mapambio.