CCM ya leo hovyo kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ya leo hovyo kabisa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 20, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kuna mzee mmoja kada wa CCM nilifanya naye mazungumzo kidogo kuhusu chama chao.

  Nikamuuliza swali: "Kwa nini mumekubali Kikwete agombee tena Urais mwaka huu wakati amevuruga nchi na haaminiki tena?"

  Jibu: "Hata sisi tunajua kuwa Kikwete ni hovyo. Lakini utaratibu wetu(CCM) ni kila rais aongoze miaka 10."

  Swali: "Atashinda?"

  Jibu: "Lazima"

  My Take:
  Kumbe ndiyo sababu Kikwete amekuwa akiahidi mamia ya ahadi na hata kuwanadi mafisadi wenzake. Ana kinga ya chama (siyo ya Watanzania) kwamba hakuna mtu wa kumzuia kugombea.

  Kama Mkwere atashinda, basi wanaomshabikia na tusio mshabikia WATAJUTA.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa mkuu Ong'wise.

  wana sisiemu kama Omar Ilyas watakuambia kuwa wewe unamchukia Kikwete kwa sababu sio mkatoliki.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kikwete kama Rais simchukii hata kidogo.

  Lakini Kikwete kama Rais wa nchi yangu, SITAKI HATA KUMSIKIA.

  Rais gani anachezewa kama mdori halafu anaona fahari na kucheka-cheka?
   
Loading...