Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Nilikuwa napata moja moto moja baridi nikamsikia mtu mmoja mzima wa umri akashangaa chama tawala CCM kuambulia kura sifuri maana yake ata wakala wao amewageuka!
Mzee akamalizia kwa kusema "CCM write off" nkakumbuka kwenye fani ya uhasibu huwa tunasema solution to bad debts is to write them off.
Naona imefika wakati watanganyika kuwawrite off ndo ikawa comment yake ya mwisho. Ni mzee wa kama 60 years hivi.
CCM kama mnachukiwa hata na waasisi wa chama (huyo mzee ana mpaka kadi ya TANU youth leaque)
Tungoje matokeo ya Igunga