CCM wote wezi, kuanzia Simbachawene hadi Lugola wote wapiga dili

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
FB_IMG_1579928731319.jpg

Nani kaingizwa mjini?

CCM mnamtesa Rais wetu, mnaigiza kuipenda...mnajionesha machoni mwa watanzania mnamsifu, kwamba ni Rais wa kipekee kutoka kwa #Mungu, kumbe majumbani mwenu mnachekelea na kujisifu wenyewe mnavyopiga #Madili kiulaini kwa kumpaga mafuta kwa mgogo wa chupa.

Huu ndio #Uzalendo wa kiccm kuisifia ccm chini ya Dkt. JPM huku unatafuna Mali za nchi bila aibu. Rais amekuwa akirudia rudia ukiona unapingwa sana jua umewazidi lakini amekuwa akifurahia kusifiwa kuliko kukosolewa, anasahau wanaomsifia wengi wao wanajenda zao kama hizi za kumuingiza mjini.

Wanaomkosoa Rais si wahaini, si wasaliti, kwani wanalenga kumnasua na mfumo wa ccm wa kutafuna nchi.

CCM lenu ni moja, kama mtembea na ILANI ya ccm anadiriki ku-forge mambo vipi wasiojua hata Dibaji ya ilani yao? Ccm OYeeeee!
 
Unaongea sababu haupo walipo wao ungekuwepo ungepiga maana 10pc inaruhusiwa na saa zingine huiombi unaikuta kwenye account au kwenye bahasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kweli anapambana na Rushwa Kwanini hawafunguliwi case za uhujumu uchumi kama kina kabendera? Wewe kwa wajinga wale unaamini raisi aliyehudumu kama wazir kwa muda moreau ville hajui wazir akisafir nje ya nchi analipwa shilingi ngap? Umesahau kwamba lazima huyo wazir zombie ruhusa ikulu? Je kwenye ruhusa lugola hajaandika sababu ya safari?
Uzuri ni kuwa, wakiimba mapambio anawasikiliza lakini wakijaribu kupiga dili anawatimua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom