CCM: Wema Sepetu kuandaliwa vyombo ya habari ashinikizwa kuzungumza ili Kesi yake ya madawa ya kulevya ifutwe

Nimesema sana na nitaendelea kusema kuwa, CDM sio chama makini ila ni SACCOS iliyo makini sana katika kukusanya mipesa, kuomba sadaka na kula LUZUKU
Zooteee hizo ni dalili mbbbaaayyaaa za kuanga maahindano ya SIASA
 
Nimesema sana na nitaendelea kusema kuwa, CDM sio chama makini ila ni SACCOS iliyo makini sana katika kukusanya mipesa, kuomba sadaka na kula LUZUKU
Zooteee hizo ni dalili mbbbaaayyaaa za kuanga maahindano ya SIASA
Baba yako Wassira, ambaye naamini ana akili zaidi yako alishatabiri hilo miaka mitano iliyopita ila yeye ndio kapukutika
 
Aaah wapi? Chadema sio chama cha watu mdebwedo kama kina Sadifa, ni kuwa wana upole tuu ila wakitaka kulianzisha hakuna wakuwazuia
Waanzishe nini na wapi
Swali dogo tu umoja wenu ule uitwao UKUTA uko wap
Au mwochwali???
Chukua na hiii....
 
Hachelewi kusema ametongozwa na Mbowe akaataa ndio maana amehama.

Sijui kwanini walimpokea wakamwacha bila kumtia hadi atembee kama ana matege! Waliomkosea sana kumwacha aondoke hivi hivi, ndo maana analeta mafinyu finyu
 
Kurejea CCM akitokea CHADEMA kumemtia hofu Mwenyekiti wa CHADEMA, freeman Aikaeli Mbowe akihofia msanii huyo kuvujisha siri ambayo mpaka sasa hakuna anayejua ni siri gani hiyo.

Hali hiyo imepelekea vijana wake katika mitandao ya kijamii kuanza kutapatapa huku na kule kuandika kila wanaloona litaweza kumnyamazisha Mwanadada huyo Machachar.
Mange Kimambi na Kwinyara Kwinyara wmeposti picha Wema Sepetu wakiwa na RC Makonda na kiweka maneno kuwa Wema ataandaliwa mkutano na CCM ili asememe kuwa Mbowe almbaka na kufanya naye Mapenzi. Swali la kujiuliza ni je huyo Wema yeye anafurahia Kubakwa na kujitangaza?

Leo tena mtumiaji wa akaunti ya Mwanahabari Huru kwenye mtandao wa jamiiforums ameandika vivyo hivyo kuwa Wema ameandaliwa mkutano na CCM ili aseme uongo kuhusu Mbowe ili kesi zake za Madawa ya kulevya zifutwe. Huku kote ni kutapatapa tu.

mytake: MBOWE na CHADEMA kwa ujimla mna hofu ya nini kama. kweli mnachokihofia hakina ukweli wowote? Mwacheni Mwenyekiti apambanne na hali yake, hayo ni masuala binafsi. Mbona wakati wanakaa front line Mahakama, misibani kama mke na. Mume hamkusema? Acheni porojo za kutaka kuwaingiza akina Makonda kwenye mambo ya Mbowe na Wema, wakati ana fly kwenda KIA hamkuwepo

Kuna somo kutokana na suala la Wema na Mbowe. Wanasiasa mnapaswa kutojiachia asilimia mia moja katika masuala binafsi mkayahusianisha na siasa.

CCM: Wema Sepetu kuandaliwa vyombo ya habari ashinikizwa kuzungumza ili Kesi yake ya madawa ya kulevya ifutwe



Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

Mods Tafadhali msiondoe uzi huu ili wajue kiini cha hizi porojo ambazo vijana wa BAVICHA wanataka kuendesha kuhusiana na issue ya Mbowe na Wema


Kwani Wema yupo chini ya miaka 18?Kama amebakwa akiita press conference ndiyo ubakwaji utakuwa umesuluhishwa?Nadhani mahali muafaka kwa Wema kupeleka kesi ya kubakwa ni Mahakamani na si kwenye press conference.

Sana atajiaibisha tu.I stand for Mbowe.Kama siasa ya CCM umefika that low kuchafua wengine ili mpate kick mwambieni Wema na Slowslow haitasaidia.

Hata Slowslow anatuhuma ya kubaka Binti wa chini ya miaka 18,lakini hakuna Chadema anayeifanyia promo.

Mahusiano yoyote kati ya Wema na Mbowe kama nasema tena kama yalikuwepo ni maridhiano yao wawili.Ila Media wajiangalie wasijewakaingia kwenye kesi za deformation tu maana hapo CCM,DAB na Wema watakuwa pembeni hawahusiki.
 
jamani wema kumbe alishagoma kufikiri duuuuuuuh watu wanakamatwa kwa kuuza tamthilia kisa hawanunui cd za bongo movie
 
Back
Top Bottom