CCM: Wema Sepetu kuandaliwa vyombo ya habari ashinikizwa kuzungumza ili Kesi yake ya madawa ya kulevya ifutwe

Ila CHADEMA mkome kinyago mlikipokea na kuendelea kukichonga mwenyewe! why sasa hivi kianze kuwatisha! mkome tu maana hamsikii.
 
Habari zilizotufikia Meza ya Mwanahabari Huru Ofisini Kwetu Mwembe Yanga zinatanabaisha Msani Wema Sepetu ametakiwa na CCM kuzungumza na vyombo vya habari ili kusema uongo jinsi alivyoteswa na kudhalilishwa na CHADEMA ili kesi yake ifutwe ile ya madawa ya kulevya na kitendo hiki cha kuzungumza na wandishi wa habari kitafanyika mara moja wiki hii

Tunaendelea kuwaletea taarifa
Baby come to Arusha please....!!!!!!
 
Kurejea CCM akitokea CHADEMA kumemtia hofu Mwenyekiti wa CHADEMA, freeman Aikaeli Mbowe akihofia msanii huyo kuvujisha siri ambayo mpaka sasa hakuna anayejua ni siri gani hiyo.

Hali hiyo imepelekea vijana wake katika mitandao ya kijamii kuanza kutapatapa huku na kule kuandika kila wanaloona litaweza kumnyamazisha Mwanadada huyo Machachar.
Mange Kimambi na Kwinyara Kwinyara wmeposti picha Wema Sepetu wakiwa na RC Makonda na kiweka maneno kuwa Wema ataandaliwa mkutano na CCM ili asememe kuwa Mbowe almbaka na kufanya naye Mapenzi. Swali la kujiuliza ni je huyo Wema yeye anafurahia Kubakwa na kujitangaza?

Leo tena mtumiaji wa akaunti ya Mwanahabari Huru kwenye mtandao wa jamiiforums ameandika vivyo hivyo kuwa Wema ameandaliwa mkutano na CCM ili aseme uongo kuhusu Mbowe ili kesi zake za Madawa ya kulevya zifutwe. Huku kote ni kutapatapa tu.

mytake: MBOWE na CHADEMA kwa ujimla mna hofu ya nini kama. kweli mnachokihofia hakina ukweli wowote? Mwacheni Mwenyekiti apambanne na hali yake, hayo ni masuala binafsi. Mbona wakati wanakaa front line Mahakama, misibani kama mke na. Mume hamkusema? Acheni porojo za kutaka kuwaingiza akina Makonda kwenye mambo ya Mbowe na Wema, wakati ana fly kwenda KIA hamkuwepo

Kuna somo kutokana na suala la Wema na Mbowe. Wanasiasa mnapaswa kutojiachia asilimia mia moja katika masuala binafsi mkayahusianisha na siasa.

CCM: Wema Sepetu kuandaliwa vyombo ya habari ashinikizwa kuzungumza ili Kesi yake ya madawa ya kulevya ifutwe



Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

Mods Tafadhali msiondoe uzi huu ili wajue kiini cha hizi porojo ambazo vijana wa BAVICHA wanataka kuendesha kuhusiana na issue ya Mbowe na Wema
 
Ahahahahaha anatumia utamu wake kuishi mjini
wema.jpg
 
Watanzania wa sasa cyo wa kale wacha wamwandalie ili wafurahishe nafsi zao kuhama kwa wema,lakini kwa nchini hakuna faida yoyote,nchi hii ya ajabu na viongozi wake,ndo bunge live no,ila mikutano ya ccm live haki iko api
 
Waandishi wa habari wakienda kumsikiliza watakuwa wajinga. Huyu m....azzzz mnahangaika naye wa nini. Kuna vitu muhimu kushinda huyu msaniii. Usanii nyumbani sebuleni chumbani barazani mitaani Umiss uliisha bana 2006 mpaka leo ni miaka mingi atulie afikirie kuanzisha familia. Utu uzima unapashwa kuwa na hekima sio kutwa kubadili wakaka kwa kisingizio cha umiss.
 
Nasikia katumwa aseme alibakwa! Sasa ajiandae maana pamoja na papuchi yake kuzoea dhoruba sasa anaweza kubakwa kweli tena kwa kiasi cha uharibifu wa kutisha!
Shauri yake!
 
Kitu kinatia uchungu sana nchi ni sehemu tuliyofika, sitaki ku imagine miaka ile ya 80 mpaka 90 au 2000 siasa ilikuwa ni watu serious hawa sijui kina Wema hata kutia unyayo tu katika mambo ya msingi wasingeweza. Leo chama kikubwa chenye history kubwa inamuongelea Wema au kumtumia kugain mileage ya kisiasa kweli tuko very low ni kama tumeishiwa au hatujui tunataka nini kwa hiyo kuwadanganya wananchi kwa mambo ya kipuuzi. na simuongelei Wema tu ni sanaa yote ya Movie siju na mziki.

Tuko very low to this point yaani tumekuwa kama magazeti ya udaku na siasa zimeingia udaku. hebu vyama mjitafakari upya je ni kweli hamna sera za kutangaza kwa ajili ya maendeleo baki mnatatumia mipasho na udaku.

Zamani ukisikia CCM wamekaa vikao ujue ni watu serious lakini leo hata kina Mpoto muhimu tu. watu wamehamia chama juzi tu wanapewa majukwaa ya kuongea katika mikutano mikubwa tu ya chama. ukweli vyama vyote tu haviko serious wamegeuka mipasho na udaku.

Wema atasaidia nini au ana mchango gani ikiwa maisha yake tu kashindwa kuyaweka sawa, please rudisheni nchi katika mstari tuwe serious katika mambo ya msingi na udaku waachieni shilawadu.

NIMEPENDA MANENO YAKO YA HEKIMA MKIWA KUMI KAMA WEWE HUMU JF ITAKUWA OK
 
Hachelewi kusema ametongozwa na Mbowe akaataa ndio maana amehama.

Siyo hachelewi! Unakumbuka sakata la hapo kati?? Atalirejea na kjusema ilikuwa ni kweli na ukweli mtupu hata bingu na nchi ipinduke Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nchi ya Viwanda haikosi mikwamu ya hapa na pale!

Tutabaki kulishana hizi Silawadu sorry Shilawadu za hapa na pale 2020 hiyooooooooo next 2025 ???
 
Back
Top Bottom