CCM: Wema Sepetu kuandaliwa vyombo ya habari ashinikizwa kuzungumza ili Kesi yake ya madawa ya kulevya ifutwe

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari zilizotufikia Meza ya Mwanahabari Huru Ofisini Kwetu Mwembe Yanga zinatanabaisha Msani Wema Sepetu ametakiwa na CCM kuzungumza na vyombo vya habari ili kusema uongo jinsi alivyoteswa na kudhalilishwa na CHADEMA ili kesi yake ifutwe ile ya madawa ya kulevya na kitendo hiki cha kuzungumza na wandishi wa habari kitafanyika mara moja wiki hii

Tunaendelea kuwaletea taarifa
 
Habari zilizotufikia Meza ya Mwanahabari Huru Ofisini Kwetu Mwembe Yanga zinatanabaisha Msani Wema Sepetu ametakiwa na ccm kuzungumza na vyombo vya habari ili kusema wongo jinsi alivyoteswa na kudhalilishwa na chadema ili kesi yake ifutwe ile ya madawa ya kulevya na kitendo hichi cha kuzungumza na wandishi wa habari kitafanyika mara moja wiki hii

Tunaendelea kuwaletea taarifa
Hapo Ufipa mmeishiwa kazi za kufanya?..........kila siku Mange kasema..... Mange kasema!
 
Habari zilizotufikia Meza ya Mwanahabari Huru Ofisini Kwetu Mwembe Yanga zinatanabaisha Msani Wema Sepetu ametakiwa na ccm kuzungumza na vyombo vya habari ili kusema wongo jinsi alivyoteswa na kudhalilishwa na chadema ili kesi yake ifutwe ile ya madawa ya kulevya na kitendo hichi cha kuzungumza na wandishi wa habari kitafanyika mara moja wiki hii

Tunaendelea kuwaletea taarifa
kule insta nimeona kapost picha yake yeye na bashite inaweza kuwa kweli
 
Habari zilizotufikia Meza ya Mwanahabari Huru Ofisini Kwetu Mwembe Yanga zinatanabaisha Msani Wema Sepetu ametakiwa na ccm kuzungumza na vyombo vya habari ili kusema wongo jinsi alivyoteswa na kudhalilishwa na chadema ili kesi yake ifutwe ile ya madawa ya kulevya na kitendo hichi cha kuzungumza na wandishi wa habari kitafanyika mara moja wiki hii

Tunaendelea kuwaletea taarifa
Kwanza Wema mwenyewe mtu wa kudanga sasa akili timamu anatoa wapi?

Hata alipojiunga Chadema niliona ni mzigo tu, amerudi CCM bado naona ni mzigo tu.

Huyo angeachwa aendelee na mambo yake ya kudanga kwenye bongo muvi huko.

Siasa inatakiwa kua na watu smart sio akina Wema.

Vyama vya siasa kuweni serious na mambo yenu
 
Back
Top Bottom