CCM wazizimia kombati

Luno G

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
2,549
1,842
uploadfromtaptalk1370293927709.jpg

pichani ni diwani wa mondo kupitia CCM gamba Said Sambala
 
tatizo wabongo tuna penda kukopy then atuedit bali tunapaste hivyo hivyo RIP MAGAMBA.
 
Kombati ni vazi lenye radha na heshima yake ndiyo maana hata CCM waliota usiku na mchana
 
Kazi wanayo hawa jamaa,kila kitu kuigaiga tu,mbaya ukivaa kijani unajulikana
wewe wa chama gani.ukivaa khaki unaonekana mjanja.
 
Mnnn....kumbe walitamani sana hii kitu! Spika bungeni mara oh cdm mnatutisha mara oh mko kama mgambo wa jiji. Sasa ni wakati wa vijana kuvaa gwanda.

nakumbuka kuna siku kulikuwa na mdahalo kati ya mnadhimu wa kambi ya upinzani na naibu spika ulifanyika dom na kurushwa live na star tv aisee kwenye mdahalo ule ndugai alizisema sana kombati leo kiko wapi? chama chake kina haha usiku na mchana kutengeneza kombati
 
Huyu anamzuka wa kuhamia chadema anajipooza nafsi tu kwa kutinga hizo gamba
 
uwezo wa kufikiri wa ccm umefikia mwisho wanadhani chadema imependwa kwa kombati za khaki tu

hamna lolote nyei waasisi wahayo makombat ni ccm,angalia chipukiz ndo utajua kama ccm wameiga au la
 
Chadema wameiga kutoka ccm, walichofanya ni kubadilisha tu rangi wakachukua ya mgambo
 
Huyu anamzuka wa kuhamia chadema anajipooza nafsi tu kwa kutinga hizo gamba

hahahaha moyoni chadema ccm wanafuata buku sabasaba za lumumba

Kumbee walikuwa wanalimezea mimate gwandaaa., sasa ndio wamevaa gamba kweli kweli! Kijani?!

tena mate hasa wameona kitaa watu wanatinga kitu cha kombati ndio wao wamekuja na hii mirapurapu yao
 
hamna lolote nyei waasisi wahayo makombat ni ccm,angalia chipukiz ndo utajua kama ccm wameiga au la

kama kombati ni za ccm kwanini mlikuwa hamzivai miaka yote hiyo na kwanini eti yule ******* alisema haya ni mavazi ya waasi, sasa kama ni mavazi ya waasi kwanini na nyie mnaiga
 
Back
Top Bottom