CCM wazidi kutimkia chadema Mbeya

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,482
564
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema

Apr26_64.JPG



Kwa takribani mwezi mmoja hivi sasa CCM imepoteza zaidi ya wenyeviti wa mitaa wapatao watano, ambao wameamia CHADEMA na mwingine aliposimamishwa kugombea wadhifa huo aliibuka na ushindi wa kishindo katika Mtaa wa Nonde Bwana Ezekiel King, ambaye pia alishawahi kuwa golikipa wa Tukuyu Stars na Mapinduzi Stars ya Mbeya, mtaa anaoishi Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Bwana Athanas Kapunga.

 
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness
Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo
Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema


Bi Happiness akivishwa skafu ya chadema
 
Jamani ile kauli ya vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imepotelea wapi?
 
God is great olways,vita hii cdm wanashinda muda si mrefu.bravo mbeya people
 
'wanawake wanaoama ccm, wamepoteza mvuto kwa waume zao' by Nepi
 
Hadi magamba na ukurutu na Upulipuli na Magaga na Mang'oning'oni na Mapunye yapukutike yote kabla ya 2015.Mbeya nchi,Rais Sugu PM Silinde.JMT ni muungano wa nchi kadhaa,Rais Dr SLAA, na PM ni Said Arfi au Zitto au Tundu Lissu. PEOPLES.....POWER
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom