CCM - Wazalendo.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Historia ya Chama cha Mapinduzi CCM inatuonyesha tangu zamani kimekuwa na tabia ya kujibadilisha kila baada ya kipindi fulani hasa kinapoona kinaelekea kuchakaa au kupoteza umaarufu.

Mwaka 1954 baada ya TAA kuona haizimudu siasa za kupigania Uhuru ilijibadili na kuwa TANU.

Mwaka 1977 vyama vya TANU na ASP baada ya kuona vimepoteza mwelekeo ziliungana na kuwa CCM.

Tunakoelekea baada ya CCM kukosa makada wa kukiendesha na kubakiwa na kina Lusinde, Mgimwa na Selukamba, si ajabu wakaungana na ACT - Wazalendo na kufanya CCM - Wazalendo.

Yetu macho.
 
Back
Top Bottom