CCM Wawadhihaki Machotara Wa Zanzibar,Wasema ni nchi ya waafrica

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
ImageUploadedByJamiiForums1452589049.857532.jpg

Huu sasa ni uhuni na si wa kufimbia macho kwa wapenda amani na haki.
Ikiachwa iendele hivi watafika pabaya
 
Nilipoliona hill Banco Na mengine

Magufuli /kikwete Mwinyi//mkapa/lubuva /mJaliawa/wapo halacu shem analipungia

nikazima tv yangu!!
 
Kwa wale wasioelewa hilo dongo limeelekezwa kwa CUF
Sheikh Amri Abeid Aman Karume alimuoa mwanamke muarabu na akazaa naye watoto ambao ni mchotara aka half cast. Mmmoja wa watoto hao anaitwa Aman Abeid Karume, alikuwa raisi wa SMZ na amiri jeshi mkuu wa vikosi vya SMZ na pia mwanachama wa ccm.

Wewe unayedhani walilengwa CUF ni kwa sababu ya umbumbumbu wako tu na si vinginevyo
 
Kumbe wewe nawe Maandazi kabisa
 
Back
Top Bottom