CCM wataka posho, CUF wauana , NCCR wavunja chama, CHADEMA je mko wapi?

Ukiruhusu CCM wakatia mkono kwenye chama chenu na mkaruhusu unafiki basi ujue mmekwkisha,CUF wamebakiza jina tu hao NCCR wamebakia wale wabunge wa mkoa kigoma kupitia NCCR otherwise nako hakuna chama baada ya mbatia kukubali kuwa kibaraka wa CCM.
 
Ina maana Mabatia naye ni gamba lililojificha ndani ya CCM au una maana gani???/
 
Makupa ndo basi tena,kwa taarifa yako CDM wako kwenye Phase two strategic kuelekea 2015,wewe endelea na upofu wako,kila wakati unafikiria makario tu,nakubweteka naujira mdogo wa posho za DAYWORKER.
 
Back
Top Bottom