CCM: Wasiokuwa na ajira wakaishi kwa wajomba!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
anasema hata usa 8%hawana ajira.Waziri kilimo kasema bungeni leo.Mdee kamchana 16%hawana ajira60%vijana tz.Enzi zimepita
 
dah! Mdee kamfunika mama Kabaka. Huyu mama Kabaka alidhani yuko Butimba ttc
 
tatizo la mawaziri wetu wamekuwa vipofu kujali masilahi ya umma, kitakwimu unaweza kuona si tatizo pengo la ajira nchini;kiuhalisia ni tatizo, na ni bomu kubwa na baya kama alivyosema lowasa.Hivi tuseme ukweli, je fursa za kujiajili hata kama zipo hususani vijijini, je mazingira yanaruhusu? kama vitendea kazi, pembejeo, masoko, mfumo,sheria, uwezeshwaji? je viko sawa kuruhusu soko la ajira kuwa pana na vijana wengi kuweza kujiajiri?hapa mjini, je hizo fursa za ajira ziko nyingi kuruhu vijana wengi kuzipata fursa hizo?je mazingira nayo yako rafiki kuwezesha idadi kubwa ya vijana kujiajiri?hata kama mtu hakwenda shule , jibu atakalotoa hakuna mazingira rafiki yaliwekwa na serikali kuwezesha vijana kijiajiri.Hivyo kabaka, aache nadhalia za taarifa bungeni zisizozo na mantiki na ambazo hazikidhi haja ya tatizo lilipo.hata hivyo , ni kweli idadi kubwa ya vijana wasiona ajira , wanaweza kuishi kwa utegemezi wa wajomba na ndugu?hapa waziri karopoka, ndo kukurupuka na kukosa hoja za msingi kujibu kero za walio wengi.
 
Watu kwa kupotosha hawajambo.wote tunafatilia bunge hakuna waziri alietamka hayo maneno.naona we umeyageuza kwa kuwa unasagwa na halima
 
Naona tv zenu zinaripoti matukio kinyume nyume ndio mana mtu akisema moja we unasema kumi na moja,akitoa takwimu we unasema ya kwako unaacha kilichosemwa.shame on u.
 
Watu kwa kupotosha hawajambo.wote tunafatilia bunge hakuna waziri alietamka hayo maneno.naona we umeyageuza kwa kuwa unasagwa na halima

Mkuu ninakuwa na shaka na U great thinker wako!!kwani ukichangia bila kutukana watu hawawezi kukuelewa?
mara nyingi ukijibu topic unapenda kuingiza matusi,jitahidi kumuomba Mungu akubadilishe.
 
forgive and feel sorry for whoever tries to compare TZ unemployment problem with USA's. He/she is simply myopic, shallow minded & headed to grow hair
 
Watu kwa kupotosha hawajambo.wote tunafatilia bunge hakuna waziri alietamka hayo maneno.naona we umeyageuza kwa kuwa unasagwa na halima

Acha umagamba ww,yule mama kasema hayo maneno,km huna kaz kaishi kwa mjomba,mbona mapovu yanakutoka au uko kwa shemeji nn.
 
Back
Top Bottom