Elections 2010 CCM washinda Ukonga na Segerea

Silas A.K

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
807
157
Nimesikia Clouds fm sasahivi kwamba Mahanga na Mwakiposa wa CCM wameshinda katika majimbo ya Segerea na Ukonga respectively,mliokuwa Arnatouglo tupeni data kamili!
 
Kama hili jambazi la CCM kupitia Segerea litakuwa limeshinda hakika ni aibu kwa CCM na matusi kwa wanasegerea, yaaani hafai kabisaaaaaa siyo tu awamu hii bali na awamu nyingine zote zilizobaki. Nadhani hata PhD yake is supposed to be under scrutiny i doubt it badly, he's embarrassing wasomi wa tanzania, hafai hafai hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Frederick Mpendazoe, who was contesting Segerea parliamentary seat in Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ticket has lost to Dr Makongoro Mahanga of Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Results announced recently show that Dr Mahanga has obtained more than 43,000 votes while Mr Mpendazoe got over 39,000 votes.

Source; citizen
 
Chakachua style!!no dare!!
 
Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu lakini yenye kuhuzunisha sana, wamefanikiwa kuchakachua but nawaomba Chadema waende mahakamani haraka kupinga matokeo ili uchaguzi urudiwe au la namwamba Mheshimiwa Mpendazoe asikate tamaa kwani wana mapinduzi wa kweli daima huwa hatukati tamaa mpaka kieleweke 2015 siyo mbali tuko pamoja sana, asihofu harisa ya wanasegerea kumkosa mbunge wao waliyemchagua itaripuka vikali mwaka 2015.
 
Kura zimeibiwa Makongoro Mahanga anatakiwa kufikishwa mahakamani

"The primary objective of Revolution is to take power out of the hands of corrupt leaders and national bourgeoisies and put in the hands of people who have suffered the most, by replacing them with fresh blood, the revolution has began"Captain Thomas Sankara the President of BurkinaFaso 1984 at the age of 34

__________________________________________________
 
Hivi najiuliza swali, mnapo sema tusubiri 2015 je mnauhakika wizi na ubabe huu hautakuwepo na hiyo 2015 ? je hapo sasa ndiyo tutaamua kuwa tumechoka, na kama ni hivyo hali ikiwa ni hivi hivi tutafanyaje ! na kwa nini isiwe sasa ! ?
 
Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu lakini yenye kuhuzunisha sana, wamefanikiwa kuchakachua but nawaomba Chadema waende mahakamani haraka kupinga matokeo ili uchaguzi urudiwe au la namwamba Mheshimiwa Mpendazoe asikate tamaa kwani wana mapinduzi wa kweli daima huwa hatukati tamaa mpaka kieleweke 2015 siyo mbali tuko pamoja sana, asihofu harisa ya wanasegerea kumkosa mbunge wao waliyemchagua itaripuka vikali mwaka 2015.

hakuna kusubiri mpaka 2015, wewe subiri tu uchaguzi utarudiwa kwa vyovyote vile, Makongoro hamalizi hata mwaka kwenye ubunge. Hata kwa manati tutamuondoa!!! hawezi kuiba kura zetu halafu akae tu wakati si wanaCCM, wala wapinzani waliompigia kura.
Kama anapenda maisha yake ni kheri ajiuzuru, wala hili si tishio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom