CCM washinda Udiwani Ihumwa. Wagombea wa CHADEMA & ACT wajitoa

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Imeandikwa kwenye akaunti ya TWITTER ya CCM
"..Mgombea wa Udiwani Kata ya Ihumwa - Dodoma Ndg Bwire C. Tungaraza (CCM) atangazwa mshindi baada ya kupita bila kupingwa. [HASHTAG]#ChamaChaWatu[/HASHTAG]

Tunawashukuru wananchi kwa kuendelea kutuamini.."

Taarifa iliyoambatanishwa kwenye tweet hiyo inasem kuwa mgombea huyo wa CCM ametangazwa mshindi baada ya wagombea wa CHADEMA na ACT kujitoa.
IMG-20170102-WA0198.jpg
 
15873573_718022045018905_5804495914330579656_n.jpg

Wakati tukiendelea kulalamika kwa kila kitu, regardless kinatuhusu au hakituhusu, basi kuna mtu keshatangazwa kuwa Diwani baada ya kushindwa kupata washindani. Tujitafakari.
 
Hakuna vyama vya upinzani Bongo. Kuna vyama ambavyo vinatumika kama vitega uchumi tu.
 
Sipendi kuamini kama chama kilichopo Mkoa wote wa Dodoma ni CCM tu! Wengine wako wapi?
 
Nilishema wapinzani kuingia kwenye uchaguzi huu na tume hii ni kupoteza wakati na pesa. Taasisi zote sasa hivi zimeingia woga kuna haja gani ya kushiriki uchaguzi wa namna hiyo? Bora huko wamejitoa maana mazingira ya kutendewa haki siyaoni.
 
Imeandikwa kwenye akaunti ya TWITTER ya CCM
"..Mgombea wa Udiwani Kata ya Ihumwa - Dodoma Ndg Bwire C. Tungaraza (CCM) atangazwa mshindi baada ya kupita bila kupingwa. [HASHTAG]#ChamaChaWatu[/HASHTAG]

Tunawashukuru wananchi kwa kuendelea kutuamini.."

Taarifa iliyoambatanishwa kwenye tweet hiyo inasem kuwa mgombea huyo wa CCM ametangazwa mshindi baada ya wagombea wa CHADEMA na ACT kujitoa.
View attachment 453336

Hahaha kuna watu wanasema CCM imechokwa, kama imechokwa iweje mnajitoa (upinzani) kwenye uchaguzi baada yakupoteza matumaini ya kushinda?
 
Kama Tungaraza akijitoa kabla tar22 inakuaje?
Au ndo utaratibu wa NEC?
 
Msiumize kichwa na ndo maana hospitali ya milembe ikajengwa huko
 
Back
Top Bottom