CCM washambulia msafara wa CHADEMA, wampiga Mwandishi wa Habari, wakimnyang'anya kamera

Sumaye amesema CCM na rushwa ni pete na kidole,,magamba ndio yataleta machafuko hapa nchini.Tumechoka na magamba/dhaifu. 2015 tuyatoe madarakani.
 
Siku zote ccm ndio chanzo cha vurugu na walipofikia saizi hawako tayari kuondoka wananchi wamewachoka wanalazimisha!!!!!!!!!!!!!! Kukubalika hali ya kisiasa nchi hii imebadilika sana!!!!!!!!!
 
cdm mna michezo ya kitoto sana, kuanzia juzi mlikuwa mnatafuta nguo za ccm sasa jana mmezipata leo mmewavalisha wahuni wenu na kuwapachika kwenye kundi la ccm na kuwatuma wafanye fujo ili tu ionekane ccm wabaya

Hizo nguo mnazogawa kama pipi wakati wa kampeni? hizi watu wanazotumia kulimia? hata hiyo uliyovaa hapo ukiiangusha mahali unadhani watapita watu wangapi bila kuiokota? labda apite shabiki wa yanga aivae siku ya mechi na simba. acha uongo wa kitoto. jiandaeni kung'oka tu
 
Isije ikawa ni vichaa walisombwa kutoka milembe,sidhani kama kuna mtanganyika mwenye akili timamu anaye weza kuwapiga chadema mawe.chunguzeni kwa makini mtagundua nani walisombwa.
 
Wakuu sasa labda haya ni maagizo au ni kitu gani, subjected to debate. Leo kulikuwa na mikutano miwili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo Kata ya Msalato, Manispaa ya Dodoma, nje kidogo ya mjii.

CHADEMA walikuwa wanazindulia katika eneo la Msalato Bibo, karibu na Shule ya Sekondari Msalato, vipaji maalum. CCM wao walikuwa wanafanyia uzinduzi wao katika eneo la Msalato Gulioni, ni eneo ambalo liko karibu na barabara.

Msafara wa CHADEMA umefika eneo hilo majira ya saa 9. Kama ilivyo ada ya wageni wakifika mahali, viongozi wa kitaifa walikuwa wanakwenda kuweka saini katika kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Kata ya Msalato. Ili ufike mjini iliko ofisi hiyo ni lazima upite eneo la gulio, walipokuwa CCM.

Kufumba na kufumbua, wakati msafara ukipita maeneo hayo, ukiongozwa na watu wa pikipiki takribani 40+, hee mara mawe yakaanzwa kurushwa upande wa msafara wa CHADEMA kutoka kwa wafuasi wa CCM ambao wengi wao walikuwa wamesombwa kwa magari kutoka mjini.

Kama hiyo ya kuponda mawe msafara wa CHADEMA haitoshi, sasa wakaamua kwenda hatua nyingi zaidi mbele, wakamkamata mwandishi wa habari Danson Kaijage. Wakaanza kumshuhushia kipondo kikali. Wakitaka kumyang'anya kamera, wachukue picha alizopiga wakati wanawashambulia CHADEMA.

Kariibu wote waliokuwa wakimshambulia Kaijage anawafahamu. Salama yake ilikuwa ni kuwasili kwa polisi eneo hilo, ambao hata hivyo walichlewa sana kufika eneo la mkutano kufanya kazi yao ya ulinzi. Polisi walishindwa ku-guarantee usalama na kuzuia yaliyotokea leo.

Nitakuja kumalziia kuelezea namna ambavyo CCM walisomba watu kutoka mjini, mgeni rasmi akaonekana akija eneo la mkutano lakini akakutwa watu hawajasombwa vya kutosha hivyo akalazimika kurudi tena mjini mpaka watu wajae, kisha akarudi tena baadae kufanya uzinduzi.

Unajua mgeni rasmi alikuwa nani?

Tumaini Makene Hebu jaribu kuwa mtu mwenye habari za uhakika usiwe unakurupuka kama ndugu yako Nnauye Jr. Unaleta habari nusu nusu utafikiri ni Kiongozi unayeongoza udaku. Hebu badilika basi uwetofauti na Nnauye Jr.

Unaleta habari halafu unauliza na swali eti Unajua mgeni rasmi alikuwa nani? hatuhitaki kujua mgeni tunachohitaji ni kujua habari. Usiwe unaleta habari za udaku kama Nnauye Jr kama huwezi hiyo kazi uliyopewa na Chadema ni bora ukaombe kazi Uhuru au Habari Leo

Wakuu sasa labda haya ni maagizo au ni kitu gani, subjected to debate. Leo kulikuwa na mikutano miwili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo Kata ya Msalato, Manispaa ya Dodoma, nje kidogo ya mjii.

CHADEMA walikuwa wanazindulia katika eneo la Msalato Bibo, karibu na Shule ya Sekondari Msalato, vipaji maalum. CCM wao walikuwa wanafanyia uzinduzi wao katika eneo la Msalato Gulioni, ni eneo ambalo liko karibu na barabara.

Msafara wa CHADEMA umefika eneo hilo majira ya saa 9. Kama ilivyo ada ya wageni wakifika mahali, viongozi wa kitaifa walikuwa wanakwenda kuweka saini katika kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Kata ya Msalato. Ili ufike mjini iliko ofisi hiyo ni lazima upite eneo la gulio, walipokuwa CCM.

Kufumba na kufumbua, wakati msafara ukipita maeneo hayo, ukiongozwa na watu wa pikipiki takribani 40+, hee mara mawe yakaanzwa kurushwa upande wa msafara wa CHADEMA kutoka kwa wafuasi wa CCM ambao wengi wao walikuwa wamesombwa kwa magari kutoka mjini.

Kama hiyo ya kuponda mawe msafara wa CHADEMA haitoshi, sasa wakaamua kwenda hatua nyingi zaidi mbele, wakamkamata mwandishi wa habari Danson Kaijage. Wakaanza kumshuhushia kipondo kikali. Wakitaka kumyang'anya kamera, wachukue picha alizopiga wakati wanawashambulia CHADEMA.

Kariibu wote waliokuwa wakimshambulia Kaijage anawafahamu. Salama yake ilikuwa ni kuwasili kwa polisi eneo hilo, ambao hata hivyo walichlewa sana kufika eneo la mkutano kufanya kazi yao ya ulinzi. Polisi walishindwa ku-guarantee usalama na kuzuia yaliyotokea leo.

Nitakuja kumalziia kuelezea namna ambavyo CCM walisomba watu kutoka mjini, mgeni rasmi akaonekana akija eneo la mkutano lakini akakutwa watu hawajasombwa vya kutosha hivyo akalazimika kurudi tena mjini mpaka watu wajae, kisha akarudi tena baadae kufanya uzinduzi.

Unajua mgeni rasmi alikuwa nani?

afisa habari mzima wa chama unaleta habari ya kiumbea hivi.
 
hujalipwa posho yako ya kila mwezi ndio mana taarifa zako hazieleweki.ngoja niwapigie simu pale manhattan kinondoni manyanya wakupe lau advance
 
Acha tamthilia hizo, fanya kutupa kila kitu kwa uwazi. Ukombozi wa nchi hii hauhitaji tamthilia, unatuacha na maswali meengi bila sababu za msingi. Usisingizie nafasi haitoshi.
 
Isije ikawa ni vichaa walisombwa kutoka milembe,sidhani kama kuna mtanganyika mwenye akili timamu anaye weza kuwapiga chadema mawe.chunguzeni kwa makini mtagundua nani walisombwa.

Mimi mwenyewe nina mashaka sana na watu wa Dodoma hasa ukichukulia kuwa Mirembe ipo huko huko alafu wanakuwa na watu kama akina Lusinde. Nadhani waliwachukua watu Mirembe ili kujaza mkutano wao.
 
Fujo za CCM ni sawa na kutapatapa kwa mfa maji, mara anarusha mguu kule mara mkono anatupa huko! Sumu ya Nguvu ya Umma ina mmalizia!
 
poleni sana makamanda ila ipo siku inakuja yote yanawezekana maana Mungu wetu atawalipiza kwa njia tofauti sio ile wanayofikiria wao. kipigo kwa ccm naona ndio maelekezo ya wakubwa tusubiri tutaona mengi sana
 
..Huu upuuzi wa mtu mwenye majukumu ya Ofisa habari wa chama anakuwa anaweka habari nusunusu inabidi ukome.
 
Hii ndio demokrasia ya nchi hii kama wanavyodai .sijui udikteta unaanza vp?
 
CCM wana fujo sana, iko siku watakiona cha moto. Ukianzisha fujo halafu zikakugeuzi hutakiwa kulia. Unaugulia kimya kimya tu.
 
Back
Top Bottom