Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,073
Nimekuwa Naufuatilia Mjadala wa Wabunge 19 WALIO HASI Chama chao CHADEMA na Kuapishwa na Kuwa WABUNGE VITI Maalum Bila Baraka za Chama chao na Kupelekea KUFUKUZWA UANACHAMA.
Pamoja na Kufukuzwa UANACHAMA bado BUNGE halitaki kuwavua UBUNGE na kusubiri Wafungue KESI MAHAKAMANI ili KUCHELEWESHA Zoezi la kuwavua Ubunge.
Kwa kuwa CCM inawataka Waendelee kuwa WABUNGE na UWEZO wa Kuwafanya WABUNGE wanao Ushauri kwa CCM hebu Waanzishieni CHAMA kisajiliwe kisha Waapishwe kuwa WABUNGE wa Chama hicho KIPYA kwa kuwa CCM ndio kila kitu HAKUNA WA KUWAZUIA kuliko kupotezeana Muda na Kodi za Wananchi kutumika.