CCM Wasaidieni Watanzania ili Kuwanyamazisha Chadema Vinginevyo Siku zenu zinahesabika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Wasaidieni Watanzania ili Kuwanyamazisha Chadema Vinginevyo Siku zenu zinahesabika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, May 13, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Msimu (CCM).
  Nini mnafanya? Hamuoni aibu?
  • Watanzania hawana umeme, ​
  • Watanzania hawana maji safi na salama,​
  • Watanzania hawana madarasa ya kutosha kusomeshea watoto wao,​
  • Watanzania wanapandishiwa nauli,​
  • Watanzania wanakatwa kodi hata kwa kununua wembe, ​
  • Watanzania hawana madaktari wa kuwatibu kiasi kwamba wamekosa imani na sasa wanaamini matibabu ya kikombe badala ya tiba za kitaalamu, ​
  • Watanzania hawana ajira, ​
  • Watanzania hawana barabara nzuri, ​
  • Watanzania wanateseka na kilimo cha jembe la kupinda mgongo, ​
  • Watanzania wanategemea mvua ili kupata mazao ya chakula na biashara, ​
  • Watanzania wanaishi kwenye nyumba za tembe na makuti.​

  Chama tawala. Chama chenye serikali. Kinatumia mamilioni ya pesa kupika majungu dhidi ya hoja za msingi za chadema? kwa nini CCM na serikali yenu msifanye yale ambayo chadema wanayaona kama mumeyapa kisogo ili kuwaziba midomo kina Dr. Slaa na timu yake?

  Kama Dr. Slaa anasema barabara mbovu, kwanini CCM msijenge barabara ili kumziba mdomo Dr. Slaa na wenzake?

  Kama Dr. Slaa anadai umeme wa uhakika hakuna, kwanini CCM na serikali yenu msisambaze umeme wa kutosha na wa uhakika kwa Watanzania ili Chadema wakose la kusema?

  Kama Dr.Slaa anasema Watanzania hawana nyumba bora za kuishi, kwanini CCM na serikali yao wasiboreshe makazi ya watu?

  Mimi kama Mtanzania mzalendo ninashangazwa na matendo haya ya serikali yetu. Kwamba Kikwete na wenzake wanaona ni heri kujenga chama kuliko kuwasaidia Watanzania kwa mamilioni wanaoteseka kwenye lindi la umasikini?

  Inashangaza: Chadema wanapojaribu kuwasemea Watanzania, Serikali inatuma watu (kina Nape) kujibu majungu.

  Tutaona mwisho wake.

  "Watanzania siyo mabwege tena" (Dr. Harrison Mwakyembe)

  Big shame for Kikwete and your CCM.​
   
 2. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wape ukweli hao, naona wamelala usingizi fofofofofofo.
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Maneno ya kweli Ila yatagonga kwenye Sikio lenye nta la ccm.
  Kazi wanayofanya ni kujibu kwa maneno bila vitendo.
  Wanao mtihani aidha Chama au wananchi.
  Kazi ni kwao na kasi ya CDM.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa ccm ipo kutawala na sio kuongoza. Kuongoza na kutawala ni vitu viwili tofauti sana. Kwenye uongozi hayo uliyoyainisha yanawezekana lakini kwenye utawala hilo halipo.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Kwenye ishu ya barabara zitatoka wapi ilihali magufuri akisimama kujenga na kuhifadhi wenzake mameya,wawaziri na rais,leo wanasema anatumia ubabe na wakati juzi wamekaa semina wanasema washirikiane...kuna ushirika hapo?wengine wanahangaika kujikoboa gamba,wakati huo wengine wanalia na CDM,ukiyaangalia haya yote unagundua none of poverty fighting roadmap

  wameunda bendi ya taarabu na kuipa kazi ya kuliongoza taifa letu,JK mwimbishaji,EL,RA,wapiga gitaa, Nape,Chill,Mukama,wapiga vyombo,Mawaziri wanenguaji ukipenda waite wakata mauno
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,906
  Trophy Points: 280
  Tanzania: Nchi Pekee Duniani Ambayo Rais Wake Akiagiza Jambo Kila Mtu Aanajua Halitatekelezwa. Kama Hili la Kuwapa Mafisadi Siku 90. Kila Mtu Mwenye Akili Timamu Anajua Halitatekelezwa 100%.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Tanzania: Nchi Pekee Duniani Ambayo Rais Wake Akiagiza Jambo Kila Mtu Aanajua Halitatekelezwa. Kama Hili la Kuwapa Mafisadi Siku 90. Kila Mtu Mwenye Akili Timamu Anajua Halitatekelezwa 100%. BY Ng'wanangwa
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hayo ndio CCM wanapaswa Kufanya
   
 9. L

  Lukwangule Senior Member

  #9
  May 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahh give me a break:tonguez:
   
 10. L

  Lukwangule Senior Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi ya upinzani ni kutaka wenyewe watawale kwa kosa la mwenzake, lakini cha maana katika falsafa ya kuwa mpinzani ni kushawishi kwamba wewe unaweza kwa kuwa huyu kashindwa: wenye akili huamua it is high time.mitusi haiwezi kubadili mustakabali wa nchi hii ambayo huenda kwa miaka pengine 20 hivi imepoteza dira ya kitaifa , tunabaki kusikiliza harufu za mashuzi tu na kuogelea katika ujinga wa kutotafakari mambo kwa kina na kutoa suluhu yenye ukweli unaouma. tchao
   
 11. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,635
  Trophy Points: 280
  Hili hapa ni kweli hata pale alipoagiza Jangwani waondoe yale Mabati pabaki wazi alivyokuta ni wachina akanyamaza mpaka leo yapo. Machinga Complex kupewa chinga tu bado ni tatizo
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  hii yafaa kuwa barua ya wazi kwa mhehishimiwa JK
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh! Ni kweli ingawa inauma
   
 14. t

  tambarare Senior Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ALL of them,I mean ccm leaders are f..cked up money is all about .....lkn hakika siku sinahesabika na kwa kweli hawa watu lazima tuwafunge
   
 15. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2014
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,845
  Likes Received: 1,239
  Trophy Points: 280
  Kwa maisha ya sasa sioni CCM watatokea wapi,labda kwa umbumbumbu wetu sisi wananchi tufumbe macho na kuziba masikio.
   
Loading...