CCM wasababisha vurugu kubwa jioni hii Igunga Mjini

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kumetokea vurugu kubwa sana katikati ya mji wa Igunga iliyolazimu Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya vijana walio kuwa na hasira.

Chanzo cha vurugu hizo ni CCM kwani baada ya kuchelewa kumaliza Mkutano wao hadi saa 18.45Pm ndipo basi lao lenye rangi ya CCM na mabango ya Magufuli kuzuia gari la CHADEMA lililokuwa likitokea barabara iendayo Mwanzugi ndipo vijana kwa umoja wao kuchukizwa na hali hiyo na kuanza kurusha mawe na chupa kuelekea kwenye gari la CCM na ndipo polisi walipoingilia kati na kuanza kupiga mabomu ya machozi na Risasi za moto juu kuwatawanya vijana hao wenye hasira
 
fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,872
2,000
Ukiwa ccm ujue huna akili ukirepy negative umeconfirm ujinga wako
 
2pad

JF-Expert Member
May 10, 2013
328
195
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kumetokea vurugu kubwa sana katikati ya mji wa Igunga iliyolazimu Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya vijana walio kuwa na hasira.

Chanzo cha vurugu hizo ni CCM kwani baada ya kuchelewa kumaliza Mkutano wao hadi saa 18.45Pm ndipo basi lao lenye rangi ya CCM na mabango ya Magufuli kuzuia gari la CHADEMA lililokuwa likitokea barabara iendayo Mwanzugi ndipo vijana kwa umoja wao kuchukizwa na hali hiyo na kuanza kurusha mawe na chupa kuelekea kwenye gari la CCM na ndipo polisi walipoingilia kati na kuanza kupiga mabomu ya machozi na Risasi za moto juu kuwatawanya vijana hao wenye hasira
Si kweli Mi mwenyewe nilikuepo huo ni uzushi mkubwa nikwamba nikweli ccm walichelewa natena walimaliza mkutano saa moja na 15 jioni, mi baada yakuondoka muda huo Diwani wa kata ya Igunga mjini alikua ametokea kijiji jilani kinaitwa Makomelo alipofika katikati ya mji, kwenye mapandanjia yakwenda mwanzugi balabala kuu ambapo hupaki bodaboda na daladala akapaki na kuweka Muziki wa Bahati bukuku wa Lowasa Jembe ambapo vijana walikusanyika kwawingi na kuanza kucheza, walizidi kuongezeka nakuziba kabisa balabala nakusababisha mgali mbalimbali kuanzakupita kwashida, ndipo Polisi walifika nakumtaka diwani aondoke hali iliyozua taflani kati ya polisi na Raia. Raia walirusha mawe nakumpiga police mmoja jina nimelisahau ila ni mpemba ndipo polisi walipiga kama mabom ma 3 ya machozi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom