gomezirichard
Member
- Nov 2, 2010
- 71
- 1
Ni ukweli usiopingika wala usio na mashaka kwamba hali ya CCM waliyofikia ni utata mtupu, makundi yanazidi kuwatesa CCM, nA PIA KWA MIAKA 5 IJAYO HAKUNA MABADILIKO TUNAYOTEGEMEA.
Licha ya hivyo ofisi nyingi zina run banckrupt ukizingatia kuwa pesa nyingi ilisombwa kwenye campaign, licha ya hivyo watumishi wengi wa serikali hawajapata mishahara mipya ukizingatia pesa hiyo ilitumika kwenye campaign.
Pia Kitendo cha wabunge wa CCM Kuwazomea CHADEMA Wabunge wasifikiri kuwa wananchi tumelifurahia hilo hakika gharama ya kuukosa ubunge utawatesa wananchi wamebadilika wala hawataki kusikia mambo yao yasiyo na maslahi ya kitaifa.
Kitendo cha spika wabunge kuwasistiza wabunge kutumia muda huu kusoma sana kanuni za bunge na kujidai kusema eti safari hii watatumia sana kanuni kwani sita alikua hatumii kanuni yote hayo ni kujihami kwani wameona hali ni ngumu hapakaliki wabunge 46 wa CHADEMA ni sawa na wabunge 450 wa CCM.
ALUTA CONTINUE HALALI MTU HADI KIELEWEKE
WABUNGE CHADEMA BIG UP MIZAHA YAO WASIFIKIRI TUNAIFURAHIA USICHEZE NA MASLAHI YA WATANZANIA HUO MUDA UMEKWISHA
MZEE GOMEZI