CCM wapiga kampeni ya serikali mbili misikitini

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Taarifa hiyo imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili.

Source: Tanzania Daima, leo 22/5/2014
 
Japo sina uhakika kama hizo habari ni za kweli au uongo, lakini sioni cha kushangaza hapo!
Lukuvi alishaanza kanisani na hakufanywa chochote, kwa hiyo kuna uwezekano hata hilo la msikitini likawa kweli.
 
Taarifa hiyo
imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga
kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili,source
tanzania daima leo 22/5/2014

kwani tanzania daima inaweza kuwa source ya habari,sina uhakika......nigazeti la UKAWA.....
 
Taarifa hiyo imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili,source tanzania daima leo 22/5/2014
Msikiti gani? Maana kama ni msikitini kwa Jongo nitakuoneni wa ajabu sana kuileta mada hapa jamvini.
 
Hizi habari ni za kweli nimezisikia redioni katika habari za magazetini. Waje walewabishi wanaokana kuwa CCM wanapita hata sokoni (tukio la Kwerekwe Znz).Hili goma ni zito kwao watarubuni, watatia khofu wananchi na kutumia nguvu na karata yao ya mwisho ni kuchakachua katika kura ya maoni - wananchi tujitayarishe kama litatokea hilo.
 
tanzania daima ni cheche na kwa habari za sisiem hamna lolote mbn karenga chalinze walizunguka hadi kwenye vilabu vya pombe za kienyeji na bado wakapata 0?
 
Sisiemu wanajihangaisha ,kwani hivi sasa si zipo 2? Sasa wao wanataka mbili za aina gani tena?
 
Japo sina uhakika kama hizo habari ni za kweli au uongo, lakini sioni cha kushangaza hapo!
Lukuvi alishaanza kanisani na hakufanywa chochote, kwa hiyo kuna uwezekano hata hilo la msikitini likawa kweli.

Kama waliweza kupiga kampeni za urais kwenye misikiti watashindwa nn kufanya kampeni ya serikali 2 eneo hilo hilo, kama kwenye urais walifanikiwa?
 
CCM wasipokuwa makini, hili la katiba mpya ndiyo itakuwa mwisho wa hiki chama kikongwe. Ni kweli hawakuwa tayari na watamlaumu sana aliyeuasisi mchakato huu bila chama kujipanga kikamilifu.
 
Back
Top Bottom