CCM wapelekeni jando hawa vijana ndiyo muwaruhusu waingie ngoma ya wakubwa

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Katika kosa kubwa CCM walifanya ni kumruhusu Sioi ambaye bado hata hajajua kuaongea na mwenzake kubwa jinga kibajaji kuingia kucheza ngoma ya wakubwa.

Mungewapeleka jando kwanza, matokeo yangekua afadhali
 
Back
Top Bottom