CCM wangetenda haki kwa watanzania haya yasingekuwepo haya ndiyo matunda ya kuiba kura za wananchi au (kuchakachua) sasa ona wanashangaa nini kuhusu wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya bunge kama ulimzurumu mtu haki yake ujue ipo siku ataidai tu. sasa watanzania halisi wanoipenda tanzania wanataka kutetea haki za watanzani wenzao wanaojalibu kujiita watanzani wanabisha sasa ulitaka kura za 2015 nazo zichakachuliwe? wacha wakaze ili kieleweke watu wapate haki zao la mwisho Chadema wanataka kubadilisha katiba ili isiwabane wananchi kutoa maamuzi yao.