Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,382
Naomba niwataadhalishe e sana akina nape na mwigulu nchemba juu ya kutumia huyo mlemavu katika kampeini za udiwani kwamba alipata madhira hiyo kutoka kwa CHADEMA.
Kisiasa ni sawa,lakini ukitazama matokeo mengi ya ubunge na udiwani yaliyowahi kutengeliwa na mahakama, kigezo cha kashfa kinachukua nafasi kubwa ya kutengua ushindi wa aliyetangazwa.
sasa hii ya CCM kutembea na huyo kada wao,wakiwaonesha wananchi kwamba msichague CDM kwa kuwa mkiwachagua mtakuwa kama huyo ni 'Kashfa' inayoweza kutengea ushindi wa mgombea wao iwapo atashinda pengine bila uhusika kwa huyo mlemavu.
Kwa kuwa hjadi sasa hakuna chombo chenye mamlaka kilichokwisha toa taarifa kuwa mtu huyu amekuwa hivyo kutokana na Chadema.
nawapa tu taadhali: