CCM wanaweza kufutiwa ushindi na mahakama kwa kutumia huyu mtu!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
ccm.jpg

attachment.php

Naomba niwataadhalishe e sana akina nape na mwigulu nchemba juu ya kutumia huyo mlemavu katika kampeini za udiwani kwamba alipata madhira hiyo kutoka kwa CHADEMA.

Kisiasa ni sawa,lakini ukitazama matokeo mengi ya ubunge na udiwani yaliyowahi kutengeliwa na mahakama, kigezo cha kashfa kinachukua nafasi kubwa ya kutengua ushindi wa aliyetangazwa.

sasa hii ya CCM kutembea na huyo kada wao,wakiwaonesha wananchi kwamba msichague CDM kwa kuwa mkiwachagua mtakuwa kama huyo ni 'Kashfa' inayoweza kutengea ushindi wa mgombea wao iwapo atashinda pengine bila uhusika kwa huyo mlemavu.

Kwa kuwa hjadi sasa hakuna chombo chenye mamlaka kilichokwisha toa taarifa kuwa mtu huyu amekuwa hivyo kutokana na Chadema.

nawapa tu taadhali:
 
Waache waendelee kutoa hukumu wao si ndo mahakimu na majaji na mashahidi pia. Nchi hii nashindwa kuilewa kwa nijuavyo mimi kesi inapokuwa mahakamani or anywhere else hakuna mamlaka ya mtu kutoa conclusion kwani mtuhumiwa anaweza kushinda kesi yake na tayari ushamchafua, sijui utafutaje kauli zako vichwan mwa watu.
 
Nitaomba waende naye Mtwara wakati wa uchaguzi mkuu 2015, naamini watu wa Mtwara nao watafaidika kujua kuwa ukichagua CDM watu wanakuwa na uso kama huo.
 
View attachment 97454

attachment.php

Naomba niwataadhalishe e sana akina nape na mwigulu nchemba juu ya kutumia huyo mlemavu katika kampeini za udiwani kwamba alipata madhira hiyo kutoka kwa CHADEMA.

Kisiasa ni sawa,lakini ukitazama matokeo mengi ya ubunge na udiwani yaliyowahi kutengeliwa na mahakama, kigezo cha kashfa kinachukua nafasi kubwa ya kutengua ushindi wa aliyetangazwa.

sasa hii ya CCM kutembea na huyo kada wao,wakiwaonesha wananchi kwamba msichague CDM kwa kuwa mkiwachagua mtakuwa kama huyo ni 'Kashfa' inayoweza kutengea ushindi wa mgombea wao iwapo atashinda pengine bila uhusika kwa huyo mlemavu.

Kwa kuwa hjadi sasa hakuna chombo chenye mamlaka kilichokwisha toa taarifa kuwa mtu huyu amekuwa hivyo kutokana na Chadema.

nawapa tu taadhali:

Mkuu uko sahihi ila mahakama na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vipo chini ya ccm mfano mzuri ni igunga kwani kulikuwa na evidence ya kutosha kutengua ushindi wa ccm ila kutokana na mahakama haziko huru zikaingiliwa na wanasiasa ni mbunge wa igunga akarudishiwa ubunge wake kwa kitu ambacho mtu aliyekuwa tu na elimu yake ya kawaida kwa evidence za picha na video zilizokuwepo haikuwa ngumu kutoa uamuzi. Kwahiyo wanafanya ivo kwa makusudi maalumu
 
Huyo mtu mwenyewe naye hajitambui, coz kama angekuwa na akili timamu tayari angeshachoka kutumiwa kama mwanasesere!I'm sor kwamba anauzishwa sura kila jukwaa kwa uchonganishi then anarudi kwake ... anyway labda kama anaishi Lumumba bt otherwise I think he might be used against his will!!!!!!Chezea MaCCM wewe ...
 
Ukipitia post za marehemu Regia Mtema kuna thread aliwahi kuweka, ilikua ni video ikionesha ni jinsi gani ccm walivyo mumwagia tindikali huyu jamaa huko igunga. mia
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la hawa jamaa ni shue ndogo, Je anao uthibitisho kwa CHADEMA NDO WALIHUSIKA/
Yeye akalale tu historia inasema dhahiri kwamab mtu akiishiwa sera kichwani atajitambulisha kwa itikadi za kijinga, Udini, Ukabila. sikiliza maneno yao hawana cha kusema wakati wao wangekuwa wanatueleza namna walivoboresha maisha ya wananchi. Wajue kwamba hatudanganyiki tena

Back
Top Bottom