CCM wanatumia korona kama ajenda ya kuombea kura! kweli chama kimechoka

Umewasahau na akina Peter Msechu, Lina Sanga na Shoro Mwamba!! Hali ni tete. Tunayasubira yale madege yake yakampigie kura hiyo siku ya uchaguzi.

Mimi kwa magufuli ni BIG NO! Kama mtumishi wa umma, hana cha kunivutia wala kunishawishi.
 
Ni haki yao kufanya hivyo tofauti na nyie mliokuwa mkitaka lockdown sijui mngepata wapi nafasi ya kupiga porojo majukwaani muda huu .
 
Back
Top Bottom