CCM wanataka kumhonga Sita uwaziri

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Kuna tetesi kua Kikwete anataka kumhonga Sita uwaziri ili kumtuliza asahau walio mfanyia.
kama nikweli Sita usikubali kudanganywa kitoto na hayo majizi wame kuengua kwa hila wanajua umahiri wako wa kuongoza bunge la viwango nikikwazo kwao wewe usijali kwani historia itakuku mbuka.
 
Mengi yanayosemwa hapa jf yana ukweli, inawezekana ni kweli na hili. si mbaya akiwa waziri najua ataendelea kuwa objective kama alivyofanya kwenye uspika!
 
alafu mbona wengi mnamtetea sata uyu Mr 6.......mimi sioni ufanisi wake wa kupendwa na wa jf hivyo, au mmesahau ile ofisi yake ya mil 500 nini?
mitanzania kwa kujisahau bana....
 
Sasa hili la sita linaonyesha kushindwa kwa kikwete kuongoza nchi, chama kimemsinda itakuwa nchi? Hafai jamani
 
Kuna tetesi kua Kikwete anataka kumhonga Sita uwaziri ili kumtuliza asahau walio mfanyia.
kama nikweli Sita usikubali kudanganywa kitoto na hayo majizi wame kuengua kwa hila wanajua umahiri wako wa kuongoza bunge la viwango nikikwazo kwao wewe usijali kwani historia itakuku mbuka.

Sitta hana ubavu wa kukataa kulambishwa asali - yeye ni uvuguvugu - ana chembechembe za kupinga ufisadi pia ana chembechembe za kuupenda ufisadi. Ni mtu wa 'system' hivyo keshatonywa wapi atawekwa ili mradi azibe mdomo na kuacha watu waendelee kula kwa mrija!
 
alafu mbona wengi mnamtetea sata uyu Mr 6.......mimi sioni ufanisi wake wa kupendwa na wa jf hivyo, au mmesahau ile ofisi yake ya mil 500 nini?
mitanzania kwa kujisahau bana....

Ur 100% right, hana jipya wala cha ajabu kubwa alilofanya, ila atleast kwa maspika waliopita Kidogooooooooo aliwaruhusu wapinzani kuongea na kutoa tuhuma mbalimbali ambazo watu wamejua, ndio maana CCM inamuona adui mkubwa, najua amezika mambo mengi eg Richmond, alikalia wazi kwa kupata maelezo toka ngazi za juu Rais, madudu ni mengiiii ila kidogooooo aliruhusu wote hakuna asiyejua, Richmond ,Kigoda,meremeta, EPA (of which ilipingwa bungeni mwisho wa siku unajua nini kilitokea, ila watuhumiwa wanadunda usanii mtupu) Import support ya japan, APTL ila hana lolote kubwa i support u, that is CCM
 
Sitta ni jembe, na ni miongoni mwa viongozi wachahe waadilifu waliobaki ccm. Kilichotokea ni kwamba yeye kama yeye alishindwa kupambana na mfumo uliojengwa toka kitambo ndani ya chama na serikali ila kazi yake ilionekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom