CCM wanataka kumdhuru Lissu?

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,566
2,000
Ukisoma kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza matamko ya baadhi ya viongozi wa CCM, unaona kabisa kwamba baadhi ya wanachama wa CCM wamekereka sana na Lissu kuwa hai na kuwa na akili timamu baada ya lile shambulio la Dodoma.

Lissu kuitwa "Msaliti" na wana CCM ilishazoeleka lakini sasa wana CCM wanataka kuitumia Tanzania kama kichaka cha kuelezea hisia zao dhidi ya Lissu. Ukiangalia kwa makini wana CCM wanaona Lissu ni mtu anayetakiwa kuadabishwa zaidi ya kushitakiwa.

Lengo la wana CCM hao (Siyo CCM) ni nini hasa. Jee kuna baadhi yao wanajua ni kina nani walihusika na shambulio la Lissu hivyo wana hofu iko siku Lissu atawataja watu hao na kuwaumbua hadharani?

Ukiona kauli zinazotoka kwa wana CCM walioko Bungeni, Baadhi ya wakuu wa mikoa, baadhi ya mawaziri, baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM na kina pangu pakavu tia mchuzi waliomo CCM, jambo moja la dhahiri kabisa ni kwamba kwa kauli zao inawezekana wanataka kumdhuru Lissu kutokana na misimamo yake!
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,992
2,000
Sasa kabisa mtoa mada ,haya makundi tofauti tofauti ambayo yanshangaika kumjibu lissu na aina ya majibu yao ,sio bure kwanza watakuwa wanawajua wahusika ,pili wameumia sana na kupona kwa lissu walitaka afe ndio maana waliiandaa mpaka matanga yake ,hofu yao kubwa ni kumbuka kwa wahusika maana dunia nzima imeshajua kilichotokea ,lakini kwa muktadha wa tukio lenyewe inaonekana wahusika kina Fulani ,haihitaji uwe na digrii ya chuo kikuu .
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,257
2,000

Mara ya pili?

1549278344717.png

Sharks waiting for Lissu to swim to their shores from where he is now
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
21,655
2,000
Nakumbuka Primary kuna jamaa alikuwa mtemi balaa, mkitoka break yeye akijisikia kukuchapa ngumi, kichwa, kibao, kwenzi anafanya hivyo na huna la kufanya maana ukienda kushitaki kwa Mwalimu basi ndiyo kwanza unajitakia makubwa zaidi.

Siku moja break time akampiga jamaa kichwa cha puani, jamaa akatoka damu shati lote likalowa damu, jamaa ghafla akapata nguvu za ajabu akamwangusha mtemi chini tukamwambia baba binyaaa sehemu nyetiiii - jamaa akafanikiwa kuzishika na kuzibinya kabla yule fedhuli hajafanikiwa kuamka.

Mtemi akitapatapa pale chini kujinasua lakini wapi, sisi tukaendekea kushabikia huku tukiwa hatuamini kinachotokea - Babaa binyaaa babaa kwa nguvu zote usiachiee..... yule mtemi jicho tomato.

Lissu endelea baba, hadi wajitaje wote -- hapo hapooo uliposhika usiachiee binyaaa!!!.
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,527
2,000
Walishachelewa na nafasi hiyo haipo tena kwao. Mapanga yao wanayoyanoa kila kukicha yatatumika kwa kuchinjana wao kwa wao. Mungu hakushindwa kumkinga Mh Lissu dhidi ya maadui zake bali aliwaacha wafanye waliyoyafanya kisha kumuinua Mh Lissu ili neno litimie. Hakika Mungu wetu yuhai na ataendelea kumuinua na kumfanya ang'ae duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,117
2,000
Ukisoma kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza matamko ya baadhi ya viongozi wa CCM, unaona kabisa kwamba baadhi ya wanachama wa CCM wamekereka sana na Lissu kuwa hai na kuwa na akili timamu baada ya lile shambulio la Dodoma.

Lissu kuitwa "Msaliti" na wana CCM ilishazoeleka lakini sasa wana CCM wanataka kuitumia Tanzania kama kichaka cha kuelezea hisia zao dhidi ya Lissu. Ukiangalia kwa makini wana CCM wanaona Lissu ni mtu anayetakiwa kuadabishwa zaidi ya kushitakiwa.

Lengo la wana CCM hao (Siyo CCM) ni nini hasa. Jee kuna baadhi yao wanajua ni kina nani walihusika na shambulio la Lissu hivyo wana hofu iko siku Lissu atawataja watu hao na kuwaumbua hadharani?

Ukiona kauli zinazotoka kwa wana CCM walioko Bungeni, Baadhi ya wakuu wa mikoa, baadhi ya mawaziri, baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM na kina pangu pakavu tia mchuzi waliomo CCM, jambo moja la dhahiri kabisa ni kwamba kwa kauli zao inawezekana wanataka kumdhuru Lissu kutokana na misimamo yake!
Lissu ni mpango wa Mungu hawa ccm hata wakimpa kila mwanachama smg bado haitowezekana kumuua Lissu , usishindane na aliyejaaliwa
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,506
2,000
Ukisoma kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza matamko ya baadhi ya viongozi wa CCM, unaona kabisa kwamba baadhi ya wanachama wa CCM wamekereka sana na Lissu kuwa hai na kuwa na akili timamu baada ya lile shambulio la Dodoma.

Lissu kuitwa "Msaliti" na wana CCM ilishazoeleka lakini sasa wana CCM wanataka kuitumia Tanzania kama kichaka cha kuelezea hisia zao dhidi ya Lissu. Ukiangalia kwa makini wana CCM wanaona Lissu ni mtu anayetakiwa kuadabishwa zaidi ya kushitakiwa.

Lengo la wana CCM hao (Siyo CCM) ni nini hasa. Jee kuna baadhi yao wanajua ni kina nani walihusika na shambulio la Lissu hivyo wana hofu iko siku Lissu atawataja watu hao na kuwaumbua hadharani?

Ukiona kauli zinazotoka kwa wana CCM walioko Bungeni, Baadhi ya wakuu wa mikoa, baadhi ya mawaziri, baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM na kina pangu pakavu tia mchuzi waliomo CCM, jambo moja la dhahiri kabisa ni kwamba kwa kauli zao inawezekana wanataka kumdhuru Lissu kutokana na misimamo yake!
labda watumie mabomu this time, maana imeshakuwa proved scientifically kuwa Tundu Lissu hafi kwa risasi!
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,566
2,000
Hitler aliua zaidi ya watu milioni 6 lakini mwisho wa siku ni yeye alishindwa na siyo wale aliotamani awatawale!! Duniani unaweza kuua mwili wa mtu lakini huwezi kuua mawazo yake. CIA walimuua Bob Marley lakini mpaka leo Bob anaishi kwenye mioyo ya mamilioni ya watu duniani.
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,564
2,000
RockCarnegie kawauliza swali mpaka sasa hamjajibu. Lissu hana shida na Tanzania kwani ni nchi yake na ni Taifa lake. Lissu ana shida na wana CCM wanaoongoza serikali ya Tanzania.
Kwa hiyo CCM na Lissu wanashindana kumbe? Basi si wapambane kisiasa sio wanatuunganisha na watanzania tusio na vyama. Tunachukia sana kama Lissu anafanya mambo yake binafsi.Kama ni CCM si arudi afanye siasa humuhumu na 2020 iko karibu.
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
877
1,000
Kwani Kosa hasa la Lissu ni lipi hadi Auawe? Kusema Ukweli kuwa njia zinazotumika kwenye Makinikia zitatufanya tunyolewe bila maji Matokeo yake si tumeyaona? Hayo Makinikia yameishia wapi sasa? Zile Noah kwa kila Mtanzania ziko wapi? 1.5T+900B ziko wapi? Nani Mzalendo wa kweli Kati ya Lissu na Nyie mliokosa utu? Hamjiulizi kupona kwa Lissu kimiujiza? Nashangaa kuona bado kuna watu wanataka kuendelea na Ujinga wao tena,HakyaMungu anguko lenu haliko mbali MSIPOTUBU na kumrudia Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,443

Wazungu wametoa pesa kimya kimya kwenye A/C binafsi za mtukufu malaika toka chato na makinikia yanakwenda ulaya kimya kimya kwa kifupi alipiga mikwara kwa Acacia na Barrick apate kuvuna pesa kama wenzake akina kikwete na mkapa na sasa kamweka Waziri wa madini kabila msukuma ili afiche madhambi yake aendelee kupiga kimya kimya.
 
tobiasi

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
507
500
Tunajua damu zinawachemka kumuona Lissu bado yupo hai. Mnaweza kumuua lakini alipofikia keshazalisha "kina Lissu" wengi sana kiasi kwamba hamtaweza kuwaua wote.

Lissu hawezi kufa kabla ya kutimiza yale maksudi ya Mungu yaliyomfanya amnusuru.Risasi 16 (achilia mbali zingine ambazo Mungu alizikwepesha) mwilini,huwezi kuishi kwa namna yoyote ile ya kibinadamu.HUWEZI.Muda utaweka wazi.
 
wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
776
1,000
Nakumbuka Primary kuna jamaa alikuwa mtemi sana, mkitoka break yeye akijisikia kukuchapa ngumi, kichwa, kwenzi anafanya hivyo na huna la kufanya maana ukienda kushitaki kwa Mwalimu basi ndiyo kwanza unajitakia makubwa zaidi.

Siku moja break time akampiga jamaa kichwa cha puani, jamaa akatoka damu shati lote likalowa damu, jamaa akapata nguvu za ajabu akamwangusha chini tukamwambia baba binyaaa sehemu nyetiiii - jamaa akafanikiwa kuzishika na kuzibinya kabla yule fedhuli hajafanikiwa kuamka.

Jamaa Mtemi akitapatapa pale chini kujinasua sisi tukaanza kushabikia huku tukiwa hatuamini kinachotokea - Babaa binyaaa baba kwa kwa nguvu zote..... yule mtemi jicho tomato

Lissu endelea baba, hadi wajitaje wote -- hapo hapooo uliposhika usiachiee binyaaa!!!.
Ha ha ha ha ha hahaha hahha ha.......... asante mkuu! you made my day!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom