CCM Wanataka Kulala na Nguo huku Wamekubali Kuolewa.

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Kitendo Cha Kuandaa Mpango Mchafu wa Kumficha Nyuma ya Pazia Waziri Mkuu "Mizengo Pinda" ili asizolewe na Kokoro ni Sawa na Serikali hii ya Chama Cha Mizigo Kulazimisha Kulala na Nguo huku Wamo Chumbani baada ya Kufunga Ndoa na Watanzania... Haiwezekani, ni Lazima Aibu hii Iwarudie wao Coz Wamekoroga Wenyewe ni lazima Wayameze... PINDA Adhibitiwe Kwanza Kama Ilivyokuwa Kwa LOWASA... Lasivyo tutaendelea Kuamini Kuwa CCM Wanakwepa Aibu ya Serikali ya Awamu ya Nne Kusababisha Mawaziri Wakuu Wawili Kujiuzulu Kwa Kashifa za Uongozi Mbovu Dhidi ya Watanzania na wa Kulaaniwa!... >>>"WAPIGWE TU"<<< Kweli Walipigwa Mpaka Mifugo yao... ni aibu!
 
SWALI: Waziri wa Wizara atatendaje Kazi endapo Waziri Mkuu ni Mzembe na Mlalamikaji bila ya Kuchukua hatua Stahiki dhidi ya Waziri husika?... HUU WIZI MTUPU! UZEMBE WA AKINA KAGASHEKI UMETOKANA NA UZEMBE WA PINDA... Huo ndo Ukweli Kwamba Pinda ajiuzulu mara moja... ili ampe Rais nafasi ya Kupanga Upya Baraza lake!
 
Kitendo Cha Kuandaa Mpango Mchafu wa Kumficha Nyuma ya Pazia Waziri Mkuu "Mizengo Pinda" ili asizolewe na Kokoro ni Sawa na Serikali hii ya Chama Cha Mizigo Kulazimisha Kulala na Nguo huku Wamo Chumbani baada ya Kufunga Ndoa na Watanzania... Haiwezekani, ni Lazima Aibu hii Iwarudie wao Coz Wamekoroga Wenyewe ni lazima Wayameze... PINDA Adhibitiwe Kwanza Kama Ilivyokuwa Kwa LOWASA... Lasivyo tutaendelea Kuamini Kuwa CCM Wanakwepa Aibu ya Serikali ya Awamu ya Nne Kusababisha Mawaziri Wakuu Wawili Kujiuzulu Kwa Kashifa za Uongozi Mbovu Dhidi ya Watanzania na wa Kulaaniwa!... >>>"WAPIGWE TU"<<< Kweli Walipigwa Mpaka Mifugo yao... ni aibu!

Sijui Kikwete alimwokota wapi huyu kiumbe!!!
 
Back
Top Bottom