Ccm wanapita mitaani na mfano wa karatasi za kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm wanapita mitaani na mfano wa karatasi za kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Oct 26, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  yapo madai kutoa sehemu mbali mbali kuwa viongozi wa ccm wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi kumi wanapita mitaani wakiwa na mfano halisi wa karatasi za kupigia kura zilizotolewa na tume ya uchaguzi kwa nia ya kuwapatia elimu na wakiwashawishi watu wanaodhani ni washabiki wao kuwapigia wagombea wa ccm kura siku ya tarehe 31 oktoba.

  Je hiyo ni halali? Wamepata wapi mfano wa karatasi hizo au ndio zile zilizoingia kupitia mpaka wa tunduma?
   
Loading...